Trust no one, hakuna rafiki. Waswahili wanafiki sana

Trust no one, hakuna rafiki. Waswahili wanafiki sana

Huo ulinzi ndio utupe codes mkuu. Tuishije ili kuimalisha ulinzi wetu kwa kile tunachokifanya kwenye maendeleo yetu
Kulingana na imani yako elekeza maisha yako kwa Mungu.
Chagua bwana mmoja umtumikie na sio asubuhi unasali au jioni unajipaka dawa za ramli.
Nitaiweka vizuri hii. Asante.
 
Hayajakukuta mkuu...
Ila ungejua nilivyo social ww hata usingesema hivo...
Mkuu nakuelewa sana yaani hapo sasa umeshapata uzoefu na kujua nini maana ya ulimwengu.
Hao wanaokupinga bado hawajaijua dunia wanaona kila kitu kizuri,watu ni wazuri kwa kuwaangalia usoni tu kwa vile wanatabasamu kumbe moyoni ni kinyume chake.
Hilo jambo lilishawahi kunikuta miaka michache nyuma lakini hadi hii leo tunavyoongea hapa imeniachia mshangao na haifutiki kichwani yaani nilihisi kama dunia imepinduka au imenielemea nikawa sielewielewi.
 
Hata uishi nao vipi kuna watu wana roho mbaya sana.

Kuna watu wanatamani kuona unateseka.

Kuna watu wanapenda kuona unadhalilika na hapo ujawakosea chochote.

Kina watu mafanikio yako yanawauma sana na haujafanya chichote.

Wanatamani uwe chizi utokwe na midenda.

Wanatamani kukuroge....
Usimwamini mtu, hakuna rafiki fanya maisha yako.

Ishi hivo....

Midekoo
Ridhiki mwanzo wa Chuki.....

Nomadix
Rafiki yako ni wewe mwenyewe tu.

Satan
Heri ukaishi porini ucheze na ndege kuliko kucheza na wanafki.

Kuna watu hupenda kuona wenzao wanaishi vile watakayo.

Chujio
Kifupi usiwe zuzu kuamini kila la kuambiwa na kusemasema ovyo pia kwa watu

Kasie
Kuna waliosema, fadhila mfadhili mbuzi utamla mchuzi, binadamu anamaudhi....

ndege JOHN
Heri ukaishi porini ucheze na ndege kuliko kucheza na wanafki.
Hujui usemacho. Marafiki wapo sema si wote ni wema. Angalia urafiki wa Samia na Makonda au ule wa Trump na Musk au wa Shetani na Mungu mwanangu.
 
Back
Top Bottom