Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chujio haya nayopitia sasa natamani hata nikakae kijijini huko mbali kabisa...Tena, wa karibu yako ni hatari. Hata Yuda aliyekuwa kwenye inner circle ya Bwana Yesu alimsaliti. Tujifunze kujibakisha/kuweka akiba ya kila kitu, si ya maneno tu. Hata mafanikio na maumivu yetu saa nyingine. Huwezi kujua nani yupo upande wako na nani hafurahishwi na mafanikio yako. Amini wapo hata wazazi wenye hila kwa watoto wao
Daaah hii ya sasa ni kiboko..Kuna waliosema, fadhila mfadhili mbuzi utamla mchuzi, binadamu anamaudhi....
Pia ni maneno ya khanga.
Penye dhuluma hakuna riziki, ndio maana pamoja na mgao wake mkubwa hazina yake ikatafunwa na mchwa. Kaza moyo my dear, mapito haya, ichukue kama fundishoChujio haya nayopitia sasa natamani hata nikakae kijijini huko mbali kabisa...
Mkuu nipo social sana mpaka sasa nashangaa why nafanyiwa hvi yaani kwa lipi hata sijawhi kumtukana mtu..
Mimi huyo huyo ni.mtu wa kusaidia hapa how inakua hvi..
Sawa tenda wema nenda zako ila hii too much...
Pole mkuu kwa mkasa uliokupata, umetupa funzo na kweli ipo wazi sisi ngozi nyeusi tunahusuda sana sijajua kwa ngozi nyeupe wakoje ila huwa naona hata miradi Yako wanashirikiana na wanatoboa kwa pamoja na wanafika mbali, kwetu sisi hii haipo.Mkuu assume mmepambana weww na mwenzako migodini mkapata dhahabu..
Lakini baada ya kupata yeye akaona haitoshi kwakua alipambana sana kuliko wewe akachukua 70 akakupa 30 percentage ya pesa mliyo uza madini...
Wewe na hiyo hiyo 30 yako ukasema its oky wala ujaleta utata.
Wewe ile 30 yako ukafanya jambo la maana ambalo likawa kinakufa manufaa mpaka yule mwenzako wa 70 akastuka.
Mda huo yeye amefanya jambo lake ila likabuma na hakuwa na matumiz mazuri ya pesa..
Baada ya hapo chuki zikaanza chuki chuki mwisho wa siku anaonesha wazi wazi chuki zake... Anachoresha mipango unaibiwa..
Mkuu umeona situation hyo
Mkuu acha kabisa achaa kabisa..Kumbe wanaume pia kuna wenye roho za korosho, nilifikiri ni sisi tu wanawake.
Mie kwa sasa nimekata chain nzima ya niliokuwa nawaita marafiki, baada ya kugundua nimezungukwa na wanafiki.
Yaani hata siku ikitokea nipo hoi kitandani na nipo peke yangu ndani, ni kheri nitambae mpaka nje kuomba msaada lakini si kumpigia eti rafiki aje kunisaidia.
Kuna siku ni kama Mwenyezi Mungu alinifunulia, kuna mmoja tulikuwa tunaitana marafiki, yaani urafiki uliopitiliza kuelekea undugu akanipigia simu, sikupokea, ilikuwa ni Alfajiri. Nikapitiwa usingizi ghafla ikanijia ndoto ikinionesha sio mtu mwema. Baada ya kushtuka nakutana na sms yake, wala sikuijibu mpaka leo hii.
Mkuu haya mamboMie nakupata vilivyo mkuu, maana pia ni muhanga wa hili.
Kwanini niwe oaka shumeWewe pia ni rafiki wa watu, na wewe ni paka shume pia? Poor Brain
Yaaah hiyo ndo hali niliyonayo sasa..Pole mkuu kwa mkasa uliokupata, umetupa funzo na kweli ipo wazi sisi ngozi nyeusi tunahusuda sana sijajua kwa ngozi nyeupe wakoje ila huwa naona hata miradi Yako wanashirikiana na wanatoboa kwa pamoja na wanafika mbali, kwetu sisi hii haipo.
Nakaza moyo sanaPenye dhuluma hakuna riziki, ndio maana pamoja na mgao wake mkubwa hazina yake ikatafunwa na mchwa. Kaza moyo my dear, mapito haya, ichukue kama fundisho
Daaah mkuu umeongea kweli kabisaHeri ukaishi porini ucheze na ndege kuliko kucheza na wanafki.
Roho mbaya tuu ...Wengi wako kitapeli tapeli tu
Mkuu kumbe nilikua na kaa na nyoka tena kifutu aiseeeeKulikoni?
Mimi naona mkuu kama una wazo lifanyie kazi mwenyewe au kama unamshirikisha mtu usitafute yule wa Hali ya chini mnaendana, tafuta yule aliepiga hatua huyo ndio anaweza kukupa mwongozo na kukuongezea maarifa zaidi. Hawa masikini Wanaroho mbaya sana ndiomaana hata matajiri hawataki hata kusogelewa naoYaaah hiyo ndo hali niliyonayo sasa..
Nakuaga radhi nitoe wazo kabla sijafanya kitu kwa mtu ili tujue tunafanyaje...
Mfano namfata mtu najua kabisa huyu ni hana cha kufanya unamuweka karibu unamshauri tufanye hivi na kile...
Yeye anakataa katu katu unasema its oky naamua kufanya mimi kama mimi baada ya kuona mfanikio anakuja juu...
Mkuu yapo mengi tuu tunapitia sisi watoto wa mama ntilie huku mitaani ..
Na wanaotufanyia figisu ni hawa hawa maskini wenzetu sio watoto wa kishua.
Pipo zinapenda kuona mpo same class..
Mi nitajipambania tuu mpaka nifikie stage waseme ni frimason
Kabisa maskina tuna ROHO MBAYA baadhi yetuMimi naona mkuu kama una wazo lifanyie kazi mwenyewe au kama unamshirikisha mtu usitafute yule wa Hali ya chini mnaendana, tafuta yule aliepiga hatua huyo ndio anaweza kukupa mwongozo na kukuongezea maarifa zaidi. Hawa masikini Wanaroho mbaya sana ndiomaana hata matajiri hawataki hata kusogelewa nao