Trust no one, hakuna rafiki. Waswahili wanafiki sana

Hata uishi nao vipi kuna watu wana roho mbaya sana.

Kuna watu wanatamani kuona unateseka.

Kuna watu wanapenda kuona unadhalilika na hapo ujawakosea chochote.

Kina watu mafanikio yako yanawauma sana na haujafanya chichote.

Wanatamani uwe chizi utokwe na midenda.

Wanatamani kukuroge....
Usimwamini mtu, hakuna rafiki fanya maisha yako.

Ishi hivo....

Midekoo
Ridhiki mwanzo wa Chuki.....

Nomadix
Rafiki yako ni wewe mwenyewe tu.

Satan
Heri ukaishi porini ucheze na ndege kuliko kucheza na wanafki.

Kuna watu hupenda kuona wenzao wanaishi vile watakayo.

Chujio
Kifupi usiwe zuzu kuamini kila la kuambiwa na kusemasema ovyo pia kwa watu

Kasie
Kuna waliosema, fadhila mfadhili mbuzi utamla mchuzi, binadamu anamaudhi....

ndege JOHN

Huko porini ukacheze na ndege lakini sio tai.
 
Kuamini kila mtu anakuonea wivu na kutamani uharibikiwe ni ugonjwa wa akili. Watu wapo busy na maisha yao hawana idea na chochote kile unachofanya mnapenda kujipa umuhimu msiokuwa nao. Wewe na godoro lako moja nani akuonee wivu?
 
😁😁😁😁 Magodoro ninayo mawili mkuu..

Ila jiwe lishakufikia cool down nigga
 
Hata uishi nao vipi kuna watu wana roho mbaya sana.

Kuna watu wanatamani kuona unateseka.

Kuna watu wanapenda kuona unadhalilika na hapo ujawakosea chochote.

Kina watu mafanikio yako yanawauma sana na haujafanya chichote.

Wanatamani uwe chizi utokwe na midenda.

Wanatamani kukuroge....
Usimwamini mtu, hakuna rafiki fanya maisha yako.

Ishi hivo....

Midekoo
Ridhiki mwanzo wa Chuki.....

Nomadix
Rafiki yako ni wewe mwenyewe tu.

Satan
Heri ukaishi porini ucheze na ndege kuliko kucheza na wanafki.

Kuna watu hupenda kuona wenzao wanaishi vile watakayo.

Chujio
Kifupi usiwe zuzu kuamini kila la kuambiwa na kusemasema ovyo pia kwa watu

Kasie
Kuna waliosema, fadhila mfadhili mbuzi utamla mchuzi, binadamu anamaudhi....

ndege JOHN
Heri ukaishi porini ucheze na ndege kuliko kucheza na wanafki.
Duniani hakuna urafiki ni maslahi tu kuwa makini
 
Pole mdogo.

Hivyo ndivyo dawa inavyofanya kazi, taratibu tu utapona.
 
😁😁😁😁 Magodoro ninayo mawili mkuu..

Ila jiwe lishakufikia cool down nigga

You fit your name- poor brain.

Dunia ya leo hakuna mtu anamuda wa kuangalia nani anafanya nini au kukuonea wivu. Kuamini una haters, unarogwa sijui unafanyiwa fitna ni ugonjwa wa akili na kujipa umuhimu usiokua nao.
 
Eti trust no one, unajidanganya;
1. Unapanda ndege hata hujui rubani ni nani na anafananaje..!!
2. Unapanda bodaboda hujui kama ana leseni au la..!!
3. Unafnyiwa operesheni na daktari usiyemjua..!!
4. Unakula chakula kwa kumuamini aliyepika hajaweka sumu
5. Unapanda boti hata humjui anayeliendesha
etc
Hii umeongelea kufanya mambo yasiyo ya SIRI ambayo yanamfaidisha moja kwa moja anayekufanyia. HAPA tunaongelea yale yanayokuhusu wewe binafsi na kukutoa hatua moja kwenda nyingine kimaisha sio issue za KUSHIBA, KUFIKA SOKONI, KUPONA MALARIA e.t.c 😂
 
You fit your name- poor brain.

Dunia ya leo hakuna mtu anamuda wa kuangalia nani anafanya nini au kukuonea wivu. Kuamini una haters, unarogwa sijui unafanyiwa fitna ni ugonjwa wa akili na kujipa umuhimu usiokua nao.
Sawa bufa...
Umeeleweka mkuu..
Nashukuru kwa ushauri wako inaelekea ww ni mwana saikolojia
 
You fit your name- poor brain.

Dunia ya leo hakuna mtu anamuda wa kuangalia nani anafanya nini au kukuonea wivu. Kuamini una haters, unarogwa sijui unafanyiwa fitna ni ugonjwa wa akili na kujipa umuhimu usiokua nao.
Haters wako sana, mtaani tunayasikia, tunayaona,
 
Back
Top Bottom