Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
- #121
OgopaHatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OgopaHatari sana
Sawa mkuu ngoja niuchekiNaomba link ya Uzi wa Robert Heriel Mtibeli aliozungumzia kuzima Location.
Imekuaje kijana mbona unalia lia enh? Trust no one ndio sema yqliyokusibu. Duka lako limeibiwa tena?Hata uishi nao vipi kuna watu wana roho mbaya sana.
Kuna watu wanatamani kuona unateseka.
Kuna watu wanapenda kuona unadhalilika na hapo ujawakosea chochote.
Kina watu mafanikio yako yanawauma sana na haujafanya chichote.
Wanatamani uwe chizi utokwe na midenda.
Wanatamani kukuroge....
Usimwamini mtu, hakuna rafiki fanya maisha yako.
Ishi hivo....
Midekoo
Ridhiki mwanzo wa Chuki.....
Nomadix
Rafiki yako ni wewe mwenyewe tu.
Satan
Heri ukaishi porini ucheze na ndege kuliko kucheza na wanafki.
Kuna watu hupenda kuona wenzao wanaishi vile watakayo.
Chujio
Kifupi usiwe zuzu kuamini kila la kuambiwa na kusemasema ovyo pia kwa watu
Kasie
Kuna waliosema, fadhila mfadhili mbuzi utamla mchuzi, binadamu anamaudhi....
ndege JOHN
Heri ukaishi porini ucheze na ndege kuliko kucheza na wanafki.
Hapana mkuu wanataka wanihamishe mtaa..Imekuaje kijana mbona unalia lia enh? Trust no one ndio sema yqliyokusibu. Duka lako limeibiwa tena?
Hapana mkuu wanataka wanihamishe mtaa..
Maana wanaona nakuja kwa speed ya chui..Just imagine kila kitu unajitegemea ila bado watu wanaona kama nafaidi..
Kiufupi ridhiki mwanzo wa chuki
Sasa mtoto wa kiume ndo ulie lie? Unajua mm nilipo mda huu? Anyway tafuta ngoma ya moni centrozon inaitwa maelekezo chapter 6Hapana mkuu wanataka wanihamishe mtaa..
Maana wanaona nakuja kwa speed ya chui..Just imagine kila kitu unajitegemea ila bado watu wanaona kama nafaidi..
Kiufupi ridhiki mwanzo wa chuki
Keep silence wawe wanaona tuu mambo yana buka tuu paap paaap....Play low key hii ndo kanuni namba moja wakilia kuwa maisha ni magumu na wewe lia the same .
Usiwaoneshe kuwa una mkwanja
Life is about siri don't expose ur progress
Kuna evil eyes
Negative energy
N.k
So work hard
Keep silence
Play low key
MALUMEEEEEEESasa mtoto wa kiume ndo ulie lie? Unajua mm nilipo mda huu? Anyway tafuta ngoma ya moni centrozon inaitwa maelekezo chapter 6
Keep silence wawe wanaona tuu mambo yana buka tuu paap paaap....
Aiseee ngoja nafanya hivo kwa sasa mdomo napunguza staki mambo mengi..
Ila sasa naona kama tawauwa kwa presha mkuu..
Hvi unajua watu hali yao ni tete financial alafu wewe ndo kwanza Una invest mavtu makubwa makubwa unazani hawatoacha kukuloga
Msaidie tu mtu ila wana wana roho mbaya ,mi naamini ndgu zangu 100% kwa sababu nilishaumwa nusu kufa wakanisave bila hata ya rafiki wa kazini kuja wala michango yao...So napenda ndugu zangu kuliko watu baki ,kiufupi sina rafiki .Wana jau sana..
Imagine mwana kama huyo ile roho anapata wapi et...
Mi mwana namsaidia kwa moyo mmoja kumbe an lake jambo..
Anafurahi mimi napopata majanga
Dactar huu moyo wa kuwa na wivu hatimae chuku hii imekaaje mbona wengine hawana...You have nothing to change about their life
Kama ambavyo umefanikiwa Ku-beat the odds ndivyo mtu yeyote anaweza so always be smart and maintain being heartless and not helpless.
Kweli ni mara chache sana Ndugu wa damu kusaliti.Msaidie tu mtu ila wana wana roho mbaya ,mi naamini ndgu zangu 100% kwa sababu nilishaumwa nusu kufa wakanisave bila hata ya rafiki wa kazini kuja wala michango yao...So napenda ndugu zangu kuliko watu baki ,kiufupi sina rafiki .
Sijaelewa mkuu hao uliowatag ndio waswahili ama..?Hata uishi nao vipi kuna watu wana roho mbaya sana.
Kuna watu wanatamani kuona unateseka.
Kuna watu wanapenda kuona unadhalilika na hapo ujawakosea chochote.
Kina watu mafanikio yako yanawauma sana na haujafanya chichote.
Wanatamani uwe chizi utokwe na midenda.
Wanatamani kukuroge....
Usimwamini mtu, hakuna rafiki fanya maisha yako.
Ishi hivo....
Midekoo
Ridhiki mwanzo wa Chuki.....
Nomadix
Rafiki yako ni wewe mwenyewe tu.
Satan
Heri ukaishi porini ucheze na ndege kuliko kucheza na wanafki.
Kuna watu hupenda kuona wenzao wanaishi vile watakayo.
Chujio
Kifupi usiwe zuzu kuamini kila la kuambiwa na kusemasema ovyo pia kwa watu
Kasie
Kuna waliosema, fadhila mfadhili mbuzi utamla mchuzi, binadamu anamaudhi....
ndege JOHN
Heri ukaishi porini ucheze na ndege kuliko kucheza na wanafki.
Dactar huu moyo wa kuwa na wivu hatimae chuku hii imekaaje mbona wengine hawana...
Naomba link ya Uzi wa Robert Heriel Mtibeli aliozungumzia kuzima Location.