Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
We kama hauko tanzania, hukai vijiwe vya kahawa, huwezi kuelewa,You fit your name- poor brain.
Dunia ya leo hakuna mtu anamuda wa kuangalia nani anafanya nini au kukuonea wivu. Kuamini una haters, unarogwa sijui unafanyiwa fitna ni ugonjwa wa akili na kujipa umuhimu usiokua nao.
Be yourself ..trust yourself kwakuwa at the end ni wewe na maisha yako.. Anayekukubali MKUBALI.. anayekishit.. Mpe shit.. Just simple like thatKaka mshana nafanyaje kutoa hi hali ya kijicho kwangu mkuu
We kama hauko tanzania, hukai vijiwe vya kahawa, huwezi kuelewa,
Labda uishi mbinguni lkn duniani uta mingle tu na watuHata uishi nao vipi kuna watu wana roho mbaya sana.
Kuna watu wanatamani kuona unateseka.
Kuna watu wanapenda kuona unadhalilika na hapo ujawakosea chochote.
Kina watu mafanikio yako yanawauma sana na haujafanya chichote.
Wanatamani uwe chizi utokwe na midenda.
Wanatamani kukuroge....
Usimwamini mtu, hakuna rafiki fanya maisha yako.
Ishi hivo....
Midekoo
Ridhiki mwanzo wa Chuki.....
Nomadix
Rafiki yako ni wewe mwenyewe tu.
Satan
Heri ukaishi porini ucheze na ndege kuliko kucheza na wanafki.
Kuna watu hupenda kuona wenzao wanaishi vile watakayo.
Chujio
Kifupi usiwe zuzu kuamini kila la kuambiwa na kusemasema ovyo pia kwa watu
Kasie
Kuna waliosema, fadhila mfadhili mbuzi utamla mchuzi, binadamu anamaudhi....
ndege JOHN
Heri ukaishi porini ucheze na ndege kuliko kucheza na wanafki.
Mkuu acha tuu mwaka huu lazima nimalizane nao kimya kimyaHaters wako sana, mtaani tunayasikia, tunayaona
Doooh hata huko mbinguni watakuwepo tuu kwa roho hzi hizLabda uishi mbinguni lkn duniani uta mingle tu na watu
Doooh hata huko mbinguni watakuwepo tuu kwa roho hzi hiz.haa uishi mbinguni lkn duniani uta mingle tu na watu
Achana nae mshamba huyo jamaaWe kama hauko tanzania, hukai vijiwe vya kahawa, huwezi kuelewa,
Kaka anakuja mtu anakukubali,, oky unaanza kumkubali anaanza kukuloga etBe yourself ..trust yourself kwakuwa at the end ni wewe na maisha yako.. Anayekukubali MKUBALI.. anayekishit.. Mpe shit.. Just simple like that
Ni lile lishangaz lako?Mkuu kumbe nilikua na kaa na nyoka tena kifutu aiseeee
PoleHii umenikumbusha mbali nimelazimika kuhama mkoa na kubadili kituo Cha kazi.. rafiki yangu wa karibu why why anifanyie hivi
Ridhki mwanzo wa chuki
Wala hujakosea kuna watu wameumbwa kuwa mitihani kwa wengine haswa ila nilikuja kugundua ukidumu na zile adhkar kuna namna wepesi unapatikana, kipenz jitahidi kudumu nazo hizi
Trust no one except your selfHata uishi nao vipi kuna watu wana roho mbaya sana.
Kuna watu wanatamani kuona unateseka.
Kuna watu wanapenda kuona unadhalilika na hapo ujawakosea chochote.
Kina watu mafanikio yako yanawauma sana na haujafanya chichote.
Wanatamani uwe chizi utokwe na midenda.
Wanatamani kukuroge....
Usimwamini mtu, hakuna rafiki fanya maisha yako.
Ishi hivo....
Midekoo
Ridhiki mwanzo wa Chuki.....
Nomadix
Rafiki yako ni wewe mwenyewe tu.
Satan
Heri ukaishi porini ucheze na ndege kuliko kucheza na wanafki.
Kuna watu hupenda kuona wenzao wanaishi vile watakayo.
Chujio
Kifupi usiwe zuzu kuamini kila la kuambiwa na kusemasema ovyo pia kwa watu
Kasie
Kuna waliosema, fadhila mfadhili mbuzi utamla mchuzi, binadamu anamaudhi....
ndege JOHN
Heri ukaishi porini ucheze na ndege kuliko kucheza na wanafki.
Sis nafanyiwa mambo ya ajabu ujui tuuu....Kabla ya kulaumu wewe una shukrani??
Swadakta ,walaa taniaa fiy dhkirWala hujakosea kuna watu wameumbwa kuwa mitihani kwa wengine haswa ila nilikuja kugundua ukidumu na zile adhkar kuna namna wepesi unapatikana, kipenz jitahidi kudumu nazo hizi