Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Being Emotional and Cultural Stereotypes as well as the need to Conform...., being hit-on from the time they reach puberty (hivyo kuitaji kuwakataa matapeli na kuepuka matamanio).....,
Ingawa mambo yanabadilika nashangaa sana limetokea kundi la wanaume wanaolalamika kwamba katika uwanja huu wa matters of the Heart kwamba sisi wanaume ni victims..., yaani unahitaji kujichunga sana na huyu kiumbe..., Cha kujiuliza ni kwamba katika ulingo huu (with all thing considered) Je ni kweli kwamba mwanaume ndio ana raw deal (au lack of options) ?
Nadhani tatizo ni pale ambapo watu wana-equate kila kitu na financial matters, kwamba mwanamke anakuchuna au sababu ulimfaa jana basi akikukataa kesho hilo ni kosa la jinai.., Na je karne hii ambapo kila mmoja ni mtafutaji hili suala la finance bado ni valid ?
Of course huenda wanawake wengi wamebalikiwa vijimaneno na vijikero au wanaweza wakakupiga neno la kukuumiza mpaka siku unaingia kaburini.., lakini je tumejaribu kuangalia watu hawa emotional kama wakikubariki maisha yao (penzi) na siku ukiwatupa kando Je hawaumii ? Basi huenda kama vile maua rose yenye miiba ili kuji protect huenda hivyo vijikero kwa mwanamke pia ni kujilinda na waharibifu (which happens to be most of men).
Je ni wangapi wanadhani kwamba wanaleta kiumbe ili kiwe na wazazi wawili wanaishia kukimbiwa ? Nadhani ifike wakati tuseme ukweli.., mwanaume kama yamekushinda ni rahisi kuchukua chako au kuacha kila kitu na kuanza moja, jambo ambalo sio as easy kwa mwanamke.... Na wale kila siku wanaopondwa mawe kwamba ni Single Mother na hawafai kuingia tena kwenye game je Single fathers vipi ? Wao ni Ruksa ? Na je Single na Single wakikutana ? Hio ni Kosher ?
Nadhani katika hii field ya Mahusiano sidhani kama yupo asiyeumia na kama tukisema tuweke kwenye mizani (women have got a raw deal) na Kwa wale ambao wanalalamika kwamba huyu mdada hafai wanaweza kuchukua hamsini zao.., (au hata 25); Na kwa wale wanaume wanaokunywa sumu au kuchukua uamuzi wa hatari na wa ajabu maybe walikuwa wanaishi kwenye tamthiliya na sio uhalisia.....