Truth be told, when it Comes to Relations, Women have a Raw Deal...;

Sawa, ila yule mwamba wa Kibamba na mkewe marehem mfamasia wa Temeke, yule mwamba ni mtu wangu sana tena mchizi, ukiachana na kupiga miaka mi 3 pamoja pale ifm, kesi kama hizi kwakua huwa unazisikia tu mitandaoni, ndio maana unayaandika haya unayoandika.
Nisiongee mengi
Hadi mtu unaua unless ni hasira na insanity ya muda mfupi ni lazima ulichokuwa unadhani sicho (yaani unaishi kwenye ndoto) Humans are not good people, atleast historia imetuonyesha hayo..., (“Of all the animals, man is the only one that is cruel. He is the only one that inflicts pain for the pleasure of doing it. - Mark Twain), Sasa ukizingitia mke wako sio ndugu yako na hata kuna watu wanaua hadi wazazi wao utaona kwamba ni vitu vichache sana chini ya jua ambavyo havijawahi kufanyika au vitakushangaza...

Achana na issue za hapa na pale historically kuna wanawake na makabila fulani walikuwa wanawapa sumu waume zao ili wachukue mali.., kuna watu huko ughaibuni walishaitwa black widow kwa kuolewa kuua wauame zao.., hao ni ma-psychopath na wapo katika jinsia zote..., ila tukiongelea on average na sehemu ya mwanamke katika jamii tangia enzi na enzi amepata raw deal na hana option tangia azaliwe anakutana na vishawishi mpaka siku ya kuingia kaburini na akiteleza tu na kuingia kingi jamii inamuona kama mkoma na hafai...., akipigwa mimba na kuachiwa mzigo huo mzigo ni wake na wala sio wao tena....
 
Soon utaitwa a Simp au utaambiwa unatafuta demu.
Na hilo ndio limenifanya niweke huu uzi hapa yaani baada ya kuona watu humu ni kama wanalia hawana viatu kwa kujiita victims au kwamba wanatendewa ndivyo sivyo wakati huenda wanaowalaumu hata miguu hawana let alone viatu...

Mwanaume ana uwezo wa kuchovya chovya kila anavyotaka na akatoka hapo akaenda pengine na kuendeleza libeneke..., wakati kulingana na jamii zetu za kidunia mwanamke akifanaya hivyo huenda hata ukoo mzima unaweza kusema kwamba amewatia aibu.... Tena bora kibongo bongo huko wa Pakistan au Wahindi wajomba zako hawachelewi kukuua na kukuzika iwapo utapenda ambapo wao wanaona hapafai.... Now wakati mwanaume unaweza kujikaza kisabuni na ukarukia msamwanda mwingine unaopita na kujenga familia huyu binti sio rahisi kihivyo (ingawa mambo yanabadilika polepole na huenda ndio maana kuna hii backlash ya mfumo dume)
Ukweli ni kwamba Ndoa na mahusiano lazima ukubali kupoteza, kila mtu anacho anachoweza kupoteza, Iwe malengo, uhuru, pesa etc Na kila mtu anaweza kuwa a victim zingine zote ni blah blah za watu kuvutia upande wao.
Pesa zinatafutwa na ukiwa na perspective ambayo sio materialistic huenda hili halitakusumbua sana.., Kuna jamaa alikuwa na kazi nzuri, ila nyumbani mke na watoto kukawa hakuna heshima tena hadi akaanza kuwa mlevi na nyumbani hataki kwenda, ila mwisho wa siku alichukua uamuzi wa busara (kuwaachia huyo mama na watoto ile nyumba na vitu vya ndani ya nyumba) after all wale ni watoto wake na wangeishi bila shelter sidhani kama consciously angekuwa na furaha, basi jamaa akaanza moja na sababu ni mtafutaji sasa yupo vema na ni mwenye furaha kama mwanzo..., now sidhani kama the same angeweza kufanya huyo mama kama ingekuwa vice versa (sana sana angepata watu wenye inferiority complex kwamba huyu kama aliachika kule na huku ataniacha, hence kuendelea kukabidhiwa maumivu)

Hence in comparison kutokana na kwamba jamii zimejiwekea kwamba mwanamke ni subordinate mambo mengi katika huu muunganiko hujikuta ana less options (maamuzi ya kufanya mambo yakienda ndivyo sivyo) kuliko her counterpart...
 
Ndoa ni nini ? Chagua Mkataba wowote ule uwe wa Kiimani, Kiserikali au vyovyote vile ndio tuanzie hapo kwanza...

Na kabla ya hapo watu wangekuwa wanapimwa Ujauzito kabla ya kufungishwa ndoa makanisani au misikitini kungekuwa na ndoa chache zaidi, au kungekuwa hakuna kubariki ndoa..., Na lazima ujue mpiga sound hamwambii mtu kwamba tunapata burudani hapa alafu nikupige chini baada ya siku nikuachia ujauzito... Au ni kwamba wanawake wamegeuka kuwa Hermaphrodites hence self propagation ?
Mwanamke anaruhusije kuingiliwa hali ya kua hajaolewa?
 
Nadhani hapa sijakuelewa hata kidogo...., Kwahio huenda nikajibu kitu ambacho sijaelewa... Yaani kwamba mtu kabla hajaolewa asiende na mtu, unajuaje / anajuaje kama huyo ambaye ameingia nae mahusiano sio ndio atakayemuoa (yaani wa kufa na kuzikana), unajuaje sound alizopigwa kipindi hicho ? Je tumuhukumu mtu kwa kitendo (ambacho wewe unakiita kosa) alichokifanya akiwa na miaka 18 au 20 wakati akiwa na miaka 30 au zaidi?

Ngoja tu break down huyu mtu ambaye wewe unadhani ni malaika, na hata kama ni malaika na wenyewe waliweza kumuasi Mungu (kwa mujibu ya maandiko hayo hayo yanayotuaminisha ndoa na mambo ya kuzini)....

  1. Binti huyu tangia amepevuka tuseme miaka between 14 mpaka 18 amekuwa akikumbwa na matamanio (after all ni mnyama na according to nature yupo pale ili kuongeza vizazi), hivyo kila mwezi akiwa kwenye heat anakuwa na matamanio makubwa ya kuweza kukutanishwa na mwanaume ili aweze kuongeza species..., Kwahio inabidi ajizuie matamanio hayo (nature) ili tu aje akutane na wewe utakayemuona ni msafi na hajaguswa (na huenda ukamgusa na kumtupilia mbali baada ya kumuona amechachuka)
  2. Binti huyu tangia tu aanze kupevuka kila mwanaume / mvulana anayekutana nae anajaribu kumdanganya ili aweze kulala nae, kuanzia marafiki zake wa umri wake mpaka wanaomzidi umri, na hata kama hataki huenda wenzake wanafanya hivyo hivyo kupelekea jamii ya marafiki zake kumtenga kwamba anajiona namna gani vipi..., na akiwa mkali sana hawachelewi hata kumtega na kumdanganya at best na at worse hata kumbaka, na akishaingia kingi tu huenda akawa ameshaharibu..., hao waliomdanganya wanasambaza story kwamba yule ni easy kwahio mashambuluzi yanazidi..., huenda akakataa mara 99 ila ile mara ya 100 akakubali huenda yupo emotional siku hio au ndio the last straw which broke the proverbial camel...
  3. Binti huyu na yeye anapenda na anaamini watu...,. na huenda yule ambaye amemuamini na kwa akili za kitoto (18 mpaka 23) akadhani huyu ndiye..., be it amekutana nae mtaani, shule au chuo.., akidhani ndio watajenga nae maisha yaani amegawa nafsi yake (pendo) kwa mwingine ingawa huenda amegawa pasipo akidhani ndio penyewe kumbe sio...
Ni kwamba kwa vigezo vyako Binti huyu haruhusiwi kufanya kosa moja tu katika maisha yake kwa mujibu wako.., tena asifanye hilo kosa ambalo kwa mujibu wa nature inamsukuma afanye (yaani ni kama teja ajizuie kula madawa) wakati mwanaume anapata free ride tena huenda akiharibu maisha ya mabinti wengi zaidi ndio sifa na anaitwa KIDUME....

Now please tell me who has got the Raw Deal between the Two...
 
Kimya wewee kama ukioa "used" usilete ngojera hapa BIKRA NI BIKRA TU!! Yani hata usemaje haitakuja kutokea kitu used kikawa bora kuliko kipya, muulize huyo mke wako alilaliwa na wanaume wangapi kabla ya wewe kumuoa au muulize kama alishawahi kumsahau alie mbikiri!
Utaandika Weeee mwisho wa siku bikra anatamani zaidi ya used, mbona wasichana wengi tu waliolelewa kwenye maadili wanatolewa wakiwa bikra
 
Kimya wewee kama ukioa "used" usilete ngojera hapa BIKRA NI BIKRA TU!!
“It's better to remain silent and be thought a fool than to speak and remove all doubt”

Ungeelewa theme ya Ndoa ilianzia wapi na vipi na kwamba chochote kinachofanyika / kinachokubalika wakati husika ni sababu ya mtizamo na utamaduni wa sehemu husika na wakati husika...., nadhani ungeanza kuangalia mambo kwa undani wake na sio literally....

Jiulize kwanza kwanini Bikra ya mwanamke matters wakati wa kuanza ndoa na isiwe Bikra ya mwanaume..., yaani kwa tamaduni it just happened to be the case... (na ndio moja ya raw deal ninayoongelea) hence thanks for making my point...., Yaani mwanaume akiwa bikra anaonekana mshamba na hajui (without experience) na mwanamke asipokuwa anaonekana malaya..., yaani unaongela USED kama ni chombo fulani cha kutumia....
Yani hata usemaje haitakuja kutokea kitu used kikawa bora kuliko kipya,
Kipya ? kwa mwanaume au mwanamke and how ? Kwahio akiwa mke wako leo Bikra kesho akatoka na watu hamsini akarudi hapo inakuwaje ? Na kama U Bikra wake ulikuwa so special ilikuwaje yule wa mwanzo akamuacha ?
muulize huyo mke wako alilaliwa na wanaume wangapi kabla ya wewe kumuoa au muulize kama alishawahi kumsahau alie mbikiri!
Kumsahau ? Kumkumbuka who Cares ? Kwahio hata kama alibakwa na anamkumbuka kwa mabaya na nightmares it's all good ? Au kama wewe ndio ulianza nae ni kwamba hawezi kukuacha ? Ushauri wa bure kama upo vizuri na mwenza wako don't go out looking for trouble au usianze kuulizia past ambazo wewe ulikuwa haupo ? Nadhani karne hii kuna mengi productive ya kufanya....

Utaandika Weeee mwisho wa siku bikra anatamani zaidi ya used, mbona wasichana wengi tu waliolelewa kwenye maadili wanatolewa wakiwa bikra
Unamaanisha Thamani au ? Again to each his / her own siwezi kukupangia wewe unachokiona kina thamani kwahio wewe kama unaona Thamani ni Bikra good for you..., ila ndio hivyo na kama ndivyo unavyosema basi your argument is folly..., sababu wote wangekuwa kama wewe wanaona kwamba Bikra ndio Value watu wansingekuwa na break ups (wangebakia wale ambao walikutana since day one) na wala kungekuwa hakuna watu kuachana na kwenda kwa mwingine / wengine....

That said umejibu uzi wangu kwa kuelewa au kutokuelewa..., kwamba Women have a Raw Deal sababu umeonyesha What is Good for the Goose is not good for the Gander...
 
“It's better to remain silent and be thought a fool than to speak and remove all doubt”

Ungeelewa theme ya Ndoa ilianzia wapi na vipi na kwamba chochote kinachofanyika / kinachokubalika wakati husika ni sababu ya mtizamo na utamaduni wa sehemu husika na wakati husika...., nadhani ungeanza kuangalia mambo kwa undani wake na sio literally....

Jiulize kwanza kwanini Bikra ya mwanamke matters wakati wa kuanza ndoa na isiwe Bikra ya mwanaume..., yaani kwa tamaduni it just happened to be the case... (na ndio moja ya raw deal ninayoongelea) hence thanks for making my point...., Yaani mwanaume akiwa bikra anaonekana mshamba na hajui (without experience) na mwanamke asipokuwa anaonekana malaya..., yaani unaongela USED kama ni chombo fulani cha kutumia....

Kipya ? kwa mwanaume au mwanamke and how ? Kwahio akiwa mke wako leo Bikra kesho akatoka na watu hamsini akarudi hapo inakuwaje ? Na kama U Bikra wake ulikuwa so special ilikuwaje yule wa mwanzo akamuacha ?

Kumsahau ? Kumkumbuka who Cares ? Kwahio hata kama alibakwa na anamkumbuka kwa mabaya na nightmares it's all good ? Au kama wewe ndio ulianza nae ni kwamba hawezi kukuacha ? Ushauri wa bure kama upo vizuri na mwenza wako don't go out looking for trouble au usianze kuulizia past ambazo wewe ulikuwa haupo ? Nadhani karne hii kuna mengi productive ya kufanya....

Unamaanisha Thamani au ? Again to each his / her own siwezi kukupangia wewe unachokiona kina thamani kwahio wewe kama unaona Thamani ni Bikra good for you..., ila ndio hivyo na kama ndivyo unavyosema basi your argument is folly..., sababu wote wangekuwa kama wewe wanaona kwamba Bikra ndio Value watu wansingekuwa na break ups (wangebakia wale ambao walikutana since day one) na wala kungekuwa hakuna watu kuachana na kwenda kwa mwingine / wengine....

That said umejibu uzi wangu kwa kuelewa au kutokuelewa..., kwamba Women have a Raw Deal sababu umeonyesha What is Good for the Goose is not good for the Gander...
"A man is judged by his future while a man is judged by her past" kama unajua kingereza utaelewa hapo.
Naona umeandika maneno meeengi yasiokuwa na maana, wewe elewa tu swala la kufananisha mtumba na used ni kosa kubwa sana, hata gari model na mwaka Sawa na bei zinafanana kwa akili ya kawaida huwezi kuchukua used ukaiacha mpya
Mambo ya kuachana hizo ni tabia za mtu husika hata hizo mitumba ndio zinaachana sana kwa kucheat kwa waliowabiriki, huwezi kusema demu aliejistiri mpaka age 26 akawa level moja na demu alieanza kuliwa tangu sekondari, chuo, mitaani
 
"A man is judged by his future while a man is judged by her past" kama unajua kingereza utaelewa hapo.
You can not judge someone by his future..., the future has yet come to pass..., hata ningejua kichina au lugha yoyote sentensi yako sio valid...; ingawa hio sio neither here nor there..., lakini unazidi kupigia mistali point ya huu uzi nadhani ni wakati muafaka wa kusoma tena uzi unasema nini ?
Naona umeandika maneno meeengi yasiokuwa na maana,
Maana au lack of ni subjective ingawa sometimes kutokupata maana sio kwamba kilichopo hakina maana bali uelewa wa msomaji / muangaliaji
wewe elewa tu swala la kufananisha mtumba na used ni kosa kubwa sana, hata gari model na mwaka Sawa na bei zinafanana kwa akili ya kawaida huwezi kuchukua used ukaiacha mpya
Again rudia kusoma ulichoandika hata kama wewe utakielewa..., kwamba mtumba sio used ? Ingawa mfano wako ni Apples and Oranges.., Sababu tukiongelea nguo mpya na mtumba (practically kwa bongo kuna watu wanachukua viatu vipya vya China wanasugua soli ili ionekane ni used (as it is well known kwamba ni better quality kuliko mpya za Bongo) Au spare Original ambayo ni used ni bora kuliko same spare ambayo ni mpya ila ya China... Kwahio as kuanzia mwanzo your points seems to be Void ab Initio....
Mambo ya kuachana hizo ni tabia za mtu husika hata hizo mitumba ndio zinaachana sana kwa kucheat kwa waliowabiriki, huwezi kusema demu aliejistiri mpaka age 26 akawa level moja na demu alieanza kuliwa tangu sekondari, chuo, mitaani
Nadhani unaishi kwenye ndoto isiyo na uhalisia na ndoto zako zinakuaminisha kwamba wewe binadamu unaweza kumiliki kiumbe kingine ambacho ni binadamu mwenzako mwenye akili yake na kuweza kuamua kubadilika dakika yoyote..., eti sababu wewe ndio ulikuwa naye mwanzo..., Nimekuuliza swali dogo tu kwahio logic yako mtu aliyebakwa mwanzoni lazima atacheat na kurudi kwa aliyembaka ?

Na unadhani watu huwa wanakutana wapi kama sio huko Chuo na kuzoeana na mwisho kuwa pamoja ? Mkuu life sio Black or White kuna a lot of Grey Areas...
 
You can not judge someone by his future..., the future has not yet arrived..., hata ningejua kichina au lugha yoyote sentensi yako sio valid...; ingawa hio sio neither here nor there..., lakini unazidi kupigia mistali point ya huu uzi nadhani ni wakati muafaka wa kusoma tena uzi unasema nini ?

Maana au lack of ni subjective ingawa sometimes kutokupata maana sio kwamba kilichopo hakina maana bali uelewa wa msomaji / muangaliaji

Again rudia kusoma ulichoandika hata kama wewe utakielewa..., kwamba mtumba sio used ? Ingawa mfano wako ni Apples and Oranges.., Sababu tukiongelea nguo mpya na mtumba (practically kwa bongo kuna watu wanachukua viatu vipya vya China wanasugua soli ili ionekane ni used (as it is well known kwamba ni better quality kuliko mpya za Bongo) Au spare Original ambayo ni used ni bora kuliko same spare ambayo ni mpya ila ya China... Kwahio as kuanzia mwanzo your points seems to be Void ab Initio....

Nadhani unaishi kwenye ndoto isiyo na uhalisia na ndoto zako zinakuaminisha kwamba wewe binadamu unaweza kumiliki kiumbe kingine ambacho ni binadamu mwenzako mwenye akili yake na kuweza kuamua kubadilika dakika yoyote..., eti sababu wewe ndio ulikuwa naye mwanzo..., Nimekuuliza swali dogo tu kwahio logic yako mtu aliyebakwa mwanzoni lazima atacheat na kurudi kwa aliyembaka ?

Na unadhani watu huwa wanakutana wapi kama sio huko Chuo na kuzoeana na mwisho kuwa pamoja ? Mkuu life sio Black or White kuna a lot of Grey Areas...
Oya eeee wewe fanya unaloona Sawa kama ni kuoa mtumba ni wewe tu naona nabishana na kichwa ngumu
 
Aisee hivi nilikutag mkuu kwamba uje au kuna sehemu nimekuchagulia mke wewe unachofanya ni kwa faida yako (all the best) ila validity ya Uzi ingawa unabisha Lakini wewe mwenyewe umakubaliana nayo (contradiction in terms) sababu ingekuwa a fair deal usingewaita wanawake mitumba bila kufanya hivyo hivyo kwa wanaume....

I think this is as good time as any, kuweza kusema I Rest my Case.... i.e. My Statement has been Vindicated...
 
Siwezi kukubaliana na weww kwamba mtumba afanane na kitu kipya usiwe kilaza kama ulioa mwanamke mtumba aliebikiriwa zamani tegemea akakucheat na kuliwa na alie mbikiri, KWELBU WAHED
 
Siwezi kukubaliana na weww kwamba mtumba afanane na kitu kipya
Naam, na maisha yangekuwa ni ya kukubaliana kila kitu yangekuwa boring..., you are entitled to your own preferences and opinions lakini hizo opionions zako sio necessarily factual...., Kwahio kwa choice yako na maamuzi yako ni Haki yako kutafuta kile unachoona kifaa, after all maisha ni yako...
usiwe kilaza kama ulioa mwanamke mtumba aliebikiriwa zamani tegemea akakucheat na kuliwa na alie mbikiri, KWELBU WAHED
Ndio hapo napoongelea facts..., maisha sio black or white kuna a lot of grey areas..., na binadamu ni complicated sio robot kwamba ukibonyeza hapa lazima itokee hiki au kile, statement yako ingekuwa sawa kwamba mtu yule aliyekuwa wa kwanza lazima ataendelea bila nae bila cheating basi watu wangekuwa na mpenzi mmoja maisha yao yote wala kusingekuwa na watu kuchepuka...

Na kama unaamini kwamba akili ya teenager at 18 mpaka 20 ni sawa na akili yake akiwa over twenty au thirty basi nadhani neno Maturity halina maana kwako...
 
Naam, na maisha yangekuwa ni ya kukubaliana kila kitu yangekuwa boring..., you are entitled to your own preferences and opinions lakini hizo opionions zako sio necessarily factual...., Kwahio kwa choice yako na maamuzi yako ni Haki yako kutafuta kile unachoona kifaa, after all maisha ni yako...

Ndio hapo napoongelea facts..., maisha sio black or white kuna a lot of grey areas..., na binadamu ni complicated sio robot kwamba ukibonyeza hapa lazima itokee hiki au kile, statement yako ingekuwa sawa kwamba mtu yule aliyekuwa wa kwanza lazima ataendelea bila nae bila cheating basi watu wangekuwa na mpenzi mmoja maisha yao yote wala kusingekuwa na watu kuchepuka...

Na kama unaamini kwamba akili ya teenager at 18 mpaka 20 ni sawa na akili yake akiwa over twenty au thirty basi nadhani neno Maturity halina maana kwako...
Sawa mzee wa skrepa wewe chukua hizo used ni maamuzi yako
N. B huyo mke alilaliwa na kubikiriwa na wengine wengi na ni uchafu kumfanya awe mzazi wa watoto wako kwakua watapitia kwenye nyapi iliofumuliwa na mwamba na kugegedwa na kila aina ya mwanaume
 
Nadhani unahitaji refresher course ya Biology especially Human Reproduction... Lakini above all else unaendelea ku-vindicate statement yangu (Women have a Raw Deal) Sababu haujasema mwanamke anapata watoto ambao anayempatia amepitia kila sehemu kabla ya kuja kwake...
 
Kwanini mwanamke aliwekewa bikra na si mwanaume?
 
Kuwekewa Bikra unamaanisha nini ? Ukisema kuhusu Bikra hata Mwanaume pia anaweza kuwa Bikra kama unamaanisha uwepo wa Hymen basi hata hio inaweza ikatoka kwa shughuli za kila siku sio necessarily Sex....

Sasa tukianza kuja kwenye issue za kuwekewa hapo tunaingia kwenye mambo ya Imani which is a totally different ball game....
 
Unauliza kitu huku unaijua, siku ukijua kwanini bikra iliwekwa kwa mwanamke basi utaacha maneno ya kijinga kama haya, ndio maana siku hizi matoto wazinzi na mataahira yanazaliwa hii yote ni kwasababu limama lao unakuta imetoa mimba karibu 20 kwa wanaume tafauti mpaka anakuja kwako mzee wa screpa anakua amebeba makombo na takataka za kila aina
N. B aliembikiri mke wako hata sahaulika kwake maisha yake yote
 
Nadhani huu ni wakati muafaka wa kukumbusha maneno yaliyosemwa wahenga....

"'It's better to be silent and be thought a fool, than to speak and remove all doubt." — Abraham Lincoln

Ingawa Confucius alisema....

'The man who asks a question is a fool for a minute, the man who does not ask is a fool for life.' -

Lakini tofauti yako wewe sio kwamba unauliza swali bali unaleta statement ambazo kwakweli zinatia mashaka your thought process.....
 
Ukweli ni kwamba Ndoa na mahusiano lazima ukubali kupoteza, kila mtu anacho anachoweza kupoteza, Iwe malengo, uhuru, pesa
Only solution ni kukaaa mbali na ndoa na hayo mahusiano yanayokufanya upoteze vitu vya msingi
 
Back
Top Bottom