Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi sababu ya kuuliwa yule mfamasia wa Temeke ni nini jamani!!??Sawa, ila yule mwamba wa Kibamba na mkewe marehem mfamasia wa Temeke, yule mwamba ni mtu wangu sana tena mchizi, ukiachana na kupiga miaka mi 3 pamoja pale ifm, kesi kama hizi kwakua huwa unazisikia tu mitandaoni, ndio maana unayaandika haya unayoandika.
Nisiongee mengi
Binafsi sielewi sababu officially ila haya mambo hata sababu officially mara nyingi huwa sio sababu pekee (unless iwe ni ghafla na hasira za ghafla yaani manslaughter) ila kama ni pre meditated murder mara nyingi watu huwa wanaona symptons na sio root cause na wala cause huwa sio moja inaweza kuwa ile ya mwisho ikawa ndio last straw. Au hata ikiwa ni ghafla pia unaweza kushangaa mtu kamuua mtu kwa kumuita tu mjinga ila kumbe lile neno mjinga ndio lilikuwa la mwisho katika maneno milioni kadhaa ya kudhalilisha....Hivi sababu ya kuuliwa yule mfamasia wa Temeke ni nini jamani!!??
Na hakuna mahali utaenda kupata kitu fulani bila kupoteza kitu fulani, ni kanuni ya ulimwengu.Only solution ni kukaaa mbali na ndoa na hayo mahusiano yanayokufanya upoteze vitu vya msingi
Kwakwel yanasemwa mengi ila polisi ndio watajua..ila tu kwakifupi jamaa walikua na changamoto ya uzazi bila mtoto toka wameoana 2018, sasa humo ndani katajwa house so mambo ni mengi polisi ndio watasaidia kujuaHivi sababu ya kuuliwa yule mfamasia wa Temeke ni nini jamani!!??
Polisi hawawezi kujua 100 percent.., watakachojua ni kutokana na evidence zilizopo ila mara nyingi anayejua ni aliyefanya kitendo tu basi..., na yeye hata akisema anaweza kusema anachotaka kuwaambia, ni vigumu sana kuelewa mambo percent mia moja unless ni wewe mwenyewe au umekaa na wahusika kwa muda mrefu sana (sababu hata hearsay / mashahidi huwa wanavutia upande wao wanaopendelea wao binafsi)..., Na hata kile kitendo cha mwisho kinachopelekea tatizo huenda sio kile kitendo bali ni mtiririko wa matendo...Kwakwel yanasemwa mengi ila polisi ndio watajua..ila tu kwakifupi jamaa walikua na changamoto ya uzazi bila mtoto toka wameoana 2018, sasa humo ndani katajwa house so mambo ni mengi polisi ndio watasaidia kujua
Naona dozi imekuingia ndio ujue sasa upo na huyo mke wako skrepa aiekazwa vilivyo mpaka anakuona kibamiaNadhani huu ni wakati muafaka wa kukumbusha maneno yaliyosemwa wahenga....
"'It's better to be silent and be thought a fool, than to speak and remove all doubt." — Abraham Lincoln
Ingawa Confucius alisema....
'The man who asks a question is a fool for a minute, the man who does not ask is a fool for life.' -
Lakini tofauti yako wewe sio kwamba unauliza swali bali unaleta statement ambazo kwakweli zinatia mashaka ya 'your thought process'.....
Why didn't you stay silent?Nadhani huu ni wakati muafaka wa kukumbusha maneno yaliyosemwa wahenga....
"'It's better to be silent and be thought a fool, than to speak and remove all doubt." — Abraham Lincoln
Ingawa Confucius alisema....
'The man who asks a question is a fool for a minute, the man who does not ask is a fool for life.' -
Lakini tofauti yako wewe sio kwamba unauliza swali bali unaleta statement ambazo kwakweli zinatia mashaka ya 'your thought process'.....
Nadhani huu ni wakati muafaka wa kukumbusha maneno yaliyosemwa wahenga....
"'It's better to be silent and be thought a fool, than to speak and remove all doubt." — Abraham Lincoln
Ingawa Confucius alisema....
'The man who asks a question is a fool for a minute, the man who does not ask is a fool for life.' -
Lakini tofauti yako wewe sio kwamba unauliza swali bali unaleta statement ambazo kwakweli zinatia mashaka your thought process.....
Kumbe tuko wengiMmhh sijakuelewa hata kidogo!!
Summatize japo ueleweke, na hizo swanglish ndio kabisaaa
Yaani nianzishe uzi mimi alafu mimi tena ndio nikae kimya ? Ndugu ushauri wa bure unaendelea kuonyesha kwamba unachoweza ni kuunganisha sentensi.., yaani thought process yako ina matatizo yaani ukishaweka nukta hujui neno la kwanza uliloweka hence unajicontradict mwenyewe..., sasa nakuacha na msemo mwingine sababu your input has no any addition to the topic at hand.... (yaani neither positive or negative ni Off Topic)Why didn't you stay silent?
Sasa kama uzi ni wako huo msemo wa kusema kujibizana ni kua arrogant aliuandika mama yako?Yaani nianzishe uzi mimi alafu mimi tena ndio nikae kimya ? Ndugu ushauri wa bure unaendelea kuonyesha kwamba unachoweza ni kuunganisha sentensi.., yaani thought process yako ina matatizo yaani ukishaweka nukta hujui neno la kwanza uliloweka hence unajicontradict mwenyewe..., sasa nakuacha na msemo mwingine sababu your input has no any addition to the topic at hand.... (yaani neither positive or negative ni Off Topic)
'Never wrestle with pigs. You both get dirty and the pig likes it.' (Kwahio kuliko mimi kuendlea kuchafuka na wewe kupata unachotaka ambacho hakina lolote linaloongeza kwenye hii hoja zaidi ya kuongeza posts ambazo ni upupu ni bora niwe a bigger man....
Msemo upi ? Tangia umekuja unajibu najibu.., unaji contradict nakuonyesha ulipo ji-contradict.., unaleta statements zenye flaws nakuonyesha.., sasa naona unaanza kwenda off-topic (Huenda wewe una muda wa kupoteza na kujibizana vitu hata ambavyo havipo na kuwa personal) huo muda sina... hence Wrestling with a Pig.... na hata hii post uliyoleta ndio muendelezo wa kitu kinachoitwa Vioja vya wakosa Hoja....Sasa kama uzi ni wako huo msemo wa kusema kujibizana ni kua arrogant aliuandika mama yako?
We tusaidie tu kuelewa hata kama uelewa wetu ni mdogo. Tunataka kujifunza.Ni kwamba sieleweki, uelewa wako una mashaka au nilichoandika ni uongo..., Kuna tofauti katika category hizo Kama unataka kueleweshwa ulizia penye utata ili ueleweshwe
Kwa mimi Mdau wa Occam Razor nadhani heading tu inatosha kukuelewesha naongelea nini (sasa kujua validity ya ukweli au uongo) unaweza kuingia ndani... Mimi tofauti kidogo na Pascal Mayalla mwandika magazeti (kila neno na nukta hapo lina maana hio ishapunguzwa to the minimum...
Uzi ufungwe! Wewe kaaa na hizo USED alafu mimi nichukue bikra, full stop, KELBU WAHEDMsemo upi ? Tangia umekuja unajibu najibu.., unaji contradict nakuonyesha ulipo ji-contradict.., unaleta statements zenye flaws nakuonyesha.., sasa naona unaanza kwenda off-topic (Huenda wewe una muda wa kupoteza na kujibizana vitu hata ambavyo havipo na kuwa personal) huo muda sina... hence Wrestling with a Pig.... na hata hii post uliyoleta ndio muendelezo wa kitu kinachoitwa Vioja vya wakosa Hoja....
Uzi ufungwe! Wewe kaaa na hizo USED alafu mimi nichukue bikra, full stop, KELBU WAHED
Bado Upo ? Yaani Post inasoma Women have a Raw Deal alafu wewe unabisha alafu unaleta post ya Faida ya Kuoa Bikra na sio kuolewa na Bikra ?Faida za kuoa mwanamke bikra
Utengenezaji wa bidha viwandani huwa wanaweka kitu kinachoitwa SEAL. Bidha yenye SEAL maana yake ni mpya, haijaguswa na MTU yeyote. Ukiona product haina SEAL, hiyo ni used, maana yake Imetumika. Kikawaida bidha iliyotumika inakuwa sio bora na ni hatari sana Kuitumia. Kuna uwezekano mkubwa...www.jamiiforums.com
Cc: Logikos
Nadhani hapa hakuna cha kujifunza ni mjadala ambao upo wazi.., upande wa pili wa shilingi wa wale wanaosema kina dada wana upper hand kwenye mahusiano (yaani ni kama nyoka inabidi uwe makini asikumalize) sasa tukiweka kwenye mizani Je hayo yana ukweli au hata kwa wanawake inabidi waambie hivyo kwa wanaume ? Hapa ni kama mtu analeta Statement kwamba Timu ya Barcelona ni bora kuliko Lipuli (sasa kwa statement hio sababu wote wanajua mpira na hizo timu wanaziona.., utashangaa anamaanisha nini na unaweza ukamsikiliza huyo mtu ila atapata sana shida kutetea hoja yake labda kama mechi inachezwa kwenye mawe na kila Barcelona akigusa mpira anapigwa mshale)....We tusaidie tu kuelewa hata kama uelewa wetu ni mdogo. Tunataka kujifunza.
Kijana si tunekubaliana wewe ni mzee wa USED a.k.a mitumba? Basi oa hiyo mitumba kila mmoja na maamuzi yakeBado Upo ? Yaani Post inasoma Women have a Raw Deal alafu wewe unabisha alafu unaleta post ya Faida ya Kuoa Bikra na sio kuolewa na Bikra ?
Ebu tumia dakika chache kufuatilia your thought process au unachokiwaza alafu utagundua huenda hata unachobisha hujui kama unabisha wakati unakubali... Ndio maana nimesema huenda kila ukiweka nukta unasau ulichokuwa unakiongelea kwenye neno la kwanza kwenye sentesi yako...
Uko sahihi chiefPolisi hawawezi kujua 100 percent.., watakachojua ni kutokana na evidence zilizopo ila mara nyingi anayejua ni aliyefanya kitendo tu basi..., na yeye hata akisema anaweza kusema anachotaka kuwaambia, ni vigumu sana kuelewa mambo percent mia moja unless ni wewe mwenyewe au umekaa na wahusika kwa muda mrefu sana (sababu hata hearsay / mashahidi huwa wanavutia upande wao wanaopendelea wao binafsi)..., Na hata kile kitendo cha mwisho kinachopelekea tatizo huenda sio kile kitendo bali ni mtiririko wa matendo...