Truth be told, when it Comes to Relations, Women have a Raw Deal...;

 
Tatizo katika uko kupoteza kuna mmoja analindwa na mfumo wakati mwingine mfumo umemtenga
 
Kila upande una cha kupoteza, lakini mfumo unamlinda zaidi mwanamke. Ukimfanyia manipulations mwanamke unapigwa penati na utaamliwa ulimpe fidia lakini mwanamke akikufanyia ivyo hawajibishwi kwa lolote, na mbaya zaidi mfumo una loopholes za kumwezesha mwanamke kufanya udanganyifu na bado akalindwa.

Hapa ndipo unapokuja wakati ambao mwanaume anatakiwa kuwa macho, mwanaume akiweza kuu-outsmart mfumo kama alivyofanya Achraf Hakimi basi mwanamke ndie atakaepoteza ila mwanaume akiwa simp kama wewe mtoa mada akija kukutana na gold digger anaeijua kazi yake lazima apigwe na kitu kizito.

Kauli mbiu ya mwaka 2025 ni "Don't simping"
 
Yaani apite secondary,apite chuo ,aanze kazi abaki na bikira tu..mnaoipa umuhimu bikira ni nyie wachache..wanaume walio experiment ujanani hawana muda na bikira hence wasio na bikira wanaolewa daily..ni ukweli mchungu
 
Mwanamke huwa victim kwa mahusiano yasiyo rasmi.
Wana wanatongoza, wanapiga, wanapita kushoto.
Dem anavunjwa vunjwa moyo,
Wengine wanamzalisha, wanamtoa bikra za kila tundu kwa ahadi feki na kubwa zaidi, anapotezewa muda.
Hizo ni hatari nyingi.

Mwanamke huacha kuwa victim rasmi anapingia kwenye ndoa, hapo ndipo role ya u-victim huanza rasmi kwa mwanaume.

Akishaoa, mwanaume atabamizwa na mifumo ya kisheria, kijamii na kitamaduni kiwajibika kwa mke wake na kukosa kabisa raha na furaha zake binafsi.
Mke akiwa mtata, ataishia kuchukua wanao, furaha yako na hata mali zako kibao.
 
Una assume kama wanawake wote ni magold diggers vile...mtoa mada hawezi kumpata gold digger ni nyie mlio over cautious ndio mtapigwq matukio...unakaa kijanja kuogopa kuibiwa unasababisha frictions kwenye mahusiano mwanamke anaamua kukaa kijanja zaidi...mwisho wake akiwa smart zaidi yako ni kuumia....huwaga ninasemaga kama nature imeamua kutufavour wanawake ni unless nature iamue vinginevyo...hizi harakati zenu you will get nowhere!
 
Yaani apite secondary,apite chuo ,aanze kazi abaki na bikira tu..mnaoipa umuhimu bikira ni nyie wachache..wanaume walio experiment ujanani hawana muda na bikira hence wasio na bikira wanaolewa daily..ni ukweli mchungu
Usihalalishe umalaya ewe binti bikra zipo nyingi sana na wanaume wajinga ndio wanaooa mitumba ila kama unajielewa huwezi kutumia kitu kilichopo nyambuliea na wanaume zaidi ya 20
 
Usihalalishe umalaya ewe binti bikra zipo nyingi sana na wanaume wajinga ndio wanaooa mitumba ila kama unajielewa huwezi kutumia kitu kilichopo nyambuliea na wanaume zaidi ya 20
Ukiulizwa jinsi ya kumpata msichana wa miaka 27 bikira utaeleza?!
 
Sijasema wanawake wote ni gold diggers nilichosema ni kwamba, mfumo unamlinda mwanamke kwaiyo akiamua kuwa mwaminifu au mdanganyifu, uamuzi wake wowote hapo analindwa kimfumo, sasa kama mwanamke amekuja kwa nia mbaya ndipo mwanaume anakua victim, hapo ndipo unapokuja wakati wa mwanaume kuji-adjust kitaalamu.

HAkuna mwanaume ambae anaingia kwenye ndoa kwa nia mbaya kwa sababu ndoa ni liability kwa mwanaume, mwanaume anaenda kubena majukumu na kama ndoa ikifika basi mwanaume ndie ataeingia hasara kwenye talaka, ni character ya mwanamke ndio inasababisha mwanaume abadilishe gia angani uko kwenye ndoa.

kuhusu nature iyo inamfavor mwanaume, ni mfumo ndio unamfavor mwanamke. Mwanaume akiweza kuuoutsmart mfumo anabaki salama lakini mwanamke hauwezi kuioutsmart nature lazima uwe katika sehemu sahihi na muda sahihi kulingana na nature inavyotaka
 
Wala sio wanawake,ni wanaume wamekua careless wanacheat bila kujali ndoa zao kuvunjika,sasa ndoa ikivunjika mwanamke ndie snaepoteza,mzigo wa watoto pamoja na gharama za ku move on ni ngumu sana kwa wanawake kuliko wanaume, ushasikia kuolewa tena kwa mwanamke aliyekua na ndoa yake before????..cases kama hizi zilikua nyingi ndio maana mfumo/ nature ikawafavour wanawake....hasa unless ionekane nyie ndio mnaoumia ndio mfumo utawafavour tena, which is difficult sababu men are promiscuous in nature...ndio maana nikasema hizi harakati zenu will get nowhere...
 
The best possible solution is to "Kusaka pesa mpaka ufikie financial freedom" then u can have a lot of options from there, u can have anything u want from out of marriage babies to hot hoes/ sugar niggaz (if u r she)
Kama hujafikia financial freedom then we can conclude that u have no any right to engage in any romantic endeavour
Till u do so.. (specifically for men)

When it comes to sexual urges, the good news is that nowadays sexual pleasures are downloadable, just freak that shit of urs in a less expensive and risky way till it stop bothering u anymore
Unless other wise just focus on ur life's problems, exercise regularly and let GOD almighty lead all ur ways but never and i insist never ever stop making Money..
Stay out of other people's lives ( especially that woman/man that u claim is ur soul mate) u'll be in for it.. trust me!!
 
Nimekuuliza swali umeshindwa kujibu...halafu unataka uzuge kwa kunitusi...msonyoooo
Sijatusi mtu na kusema "mtumba" maana yake ni kitu au mtu alitumika, wanawake wanaojielewa na kujitunza wapo kwenye familia zenye maadili na kamwe mwanamke anaejitambua hawezi kukubali kufanya mapenzi kabla hajaolewa / kufanya mapenzi na mtu asie mme wake
 
Mwanamke huwa victim kwa mahusiano yasiyo rasmi.
Wana wanatongoza, wanapiga, wanapita kushoto.
Dem anavunjwa vunjwa moyo,
Wengine wanamzalisha, wanamtoa bikra za kila tundu kwa ahadi feki na kubwa zaidi, anapotezewa muda.
Hizo ni hatari nyingi.
Indeed...
Mwanamke huacha kuwa victim rasmi anapingia kwenye ndoa, hapo ndipo role ya u-victim huanza rasmi kwa mwanaume.
Ana Option za kutoka kwenye mkataba huu dakika yoyote ile au mwingine anaweza kubaki na akaanza kuleta visa (mara nyingi mwanamke akileta visa kama hivyo anaambulia kipigo au jamii kumuona ni mtu wa ajabu)

By the way tukiongelea mali jamii za Kihindi Mwanamke ndio anatoa mahari na inawezekana kabisa hata mtaji wa mwanaume wakatoa familia ya Mwanamke ndio maana katika jamii hizi maamuzi pia huwa mwanamke anahusishwa (ingawa nao suala la arranged marriage linawasumbua sana na wanatumika kama commodities za familia zao kuunganisha mali za familia i.e. kama nyenzo ya accumulating wealth)
Akishaoa, mwanaume atabamizwa na mifumo ya kisheria, kijamii na kitamaduni kiwajibika kwa mke wake na kukosa kabisa raha na furaha zake binafsi.
Naam jamii nyingi kuanzia historically mwanaume alikuwa mtafutaji (Hunters and Gatherers) anatafuta kwa kuwinda mama na watoto wanabaki nyumbani kupika na kuokota okota matunda..., baada ya hapo mwanamke akawa pia anapigishwa kazi za kilimo mara nyingine mwanaume anakuwa cha pombe..., baada ya hapo sababu ujira ulikuwa unatosha walikuwepo mama wa nyumbani kulea watoto na baba mtafutaji...,

Tukija leo hii wote wanaingia kitaa kutafuta faranga hivyo hapo pia una choice zakupunguza matumizi sijui ya nywele au kununua nguo za mke na yeye anaweza kununua.., Ila yote hayo inategemea na busara zenu nyote wawili mkisema kwamba hili Jahazi ni la kweni na nyote ni manahodha basi mtapanga na kusaidiana ila kama ni mashindano kila mtu anavutia kwake (sidhani kama kuna mshindi katika hivyo vita)
Mke akiwa mtata, ataishia kuchukua wanao, furaha yako na hata mali zako kibao.
Wanao pia ni wa Kwake.., unless awe mpuuzi awatumie kama silaha (na hapo mpotezaji mkuu ni watoto) ingawa nadhani bondage kubwa kwa watoto ni Mama na unaongelea mali zako vipi kama na yeye ana mali ? Kumbuka hapo kale alikuwa haruhusiwi kuwa na mali yoyote na wewe mwanaume ukifa ndugu zako wanakuja kuchukua hio mali..., ila leo hii katika huu mfumo wa machinga unakuta yeye anauza vitumbua wakati wewe unauza mitumba (Hapo vipi Mkuu)?
 
Sasa mfumo kuwafavor iyo si inaenda kinyume na 50/50 mnayoitaka? How comes mnajiita strong women, sijui super women wakati huo mnaona sawa mfumo kuwabeba?. Kipindi mnadai usawa hamkujua kama mkipewa huo msawa mtaondolewa ile privilege ya unyonge ivyo mtawajibika kupambana wenyewe binafsi kwenye brutal playing ground?
 
Wapo wengi tu tatizo nyinyi mitumba mnalazimisha kila mmoja awe used
Hivi unajua maana ya Used ? kwahio mke wako na yeye ni mtumba na used ? Au ndio nyie ambao mnakwenda nchi kama Thailand kutafuta watoto wa miaka 14 au less ili tu muweze kuwa abuse..., Sababu hilo lipo pia na kuna hilo soko ambao linapelekea hawa kina dada wazidi kupata raw deal (yaani kuchukuliwa kama Sex Slaves) ili kuburudisha watu wenye fetishes za ajabu ajabu....

Tafuta tu kwenye takwimu between the two sex who are mostly traded as sex slaves.... From Asia to Easter Europe back to Africa and all over the world...
 
Upuuzi mtupu umeandika mpaka Unaniuliza maana ya used inaonyesha hujui hata kwa kiswahili ni nini. Mke ni used ila unapomuoa kama alikua ni BIKRA maana yake hajawahi kutumika na mwanaume yoyote na amjetunza kwaajili ya mme wake, tofauti na limtumba ambalo halina mme ila tobo kama kisima unakuta limelaliwa na wanaume zaidi ya 50 alafu bado inataka lijilinganishe na BIKRA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…