Truth Or Dare:The Game...Play It...

Are you working in faculty of taking care of people’s health 👩‍⚕️?

No madam
If you don't mind kwanini umeniuliza hili swali?wewe sio wa kwanza kunihisi hivi
 
No madam
If you don't mind kwanini umeniuliza hili swali?wewe sio wa kwanza kunihisi hivi

Nothing serious, ila ni humu humu kwenye nyuzi mbalimbali mara kadhaa niliwasoma memba tofauti tofauti wakikuuliza au kukuita au kukutambulisha kama dokta Joan.
 
Nothing serious, ila ni humu humu kwenye nyuzi mbalimbali mara kadhaa niliwasoma memba tofauti tofauti wakikuuliza au kukuita au kukutambulisha kama dokta Joan.
Hahahaha okay
 
Za kawaida tu sio nyingi kama inavyoonekana kwenye picha..umezoea kuona wanaume wenye miguu isiyo na nywele tu?
Wanakuwa nazo lakini hizi zako kama nyingi vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…