Truth Or Dare:The Game...Play It...

Truth Or Dare:The Game...Play It...

Huo msamiati " kusomeshwa katiba" sijui hivi itakuwa sawa.... Nilisoma katiba kujibia paper la Law chuo

Au sijaelewa D? [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]..sio..ni tafsida ya "ku-have sex"
 
Ushakutana na member wa Jf(Male/Female) physically?

Ndio nimeshawahi kukutana na memba wa JF uso kwa uso.
Nakuwahi mapema, sitataja ID zao eeheheheheheheee.

Mengine ntajibu.

Truth or dare?
 

Tafadhali naomba uweke taswira ya mguu wako hapa kuanzia magotini kushuka chini. Ambayo umepiga kuanzia jumatatu ya tarehe 5 mwezi wa kumi hadi leo hii.

Peace ✌️ and love 💕.
 
Darmiii,

Kwa sababu umeniomba nichague Dare, okay ntasema Dare ila kwa sharti kwamba.

I will dare what am capable to dare, as willingly am capable to say the truth than daring.
If that’s so, and we agree on that, let’s go.

Dare me.
Post picha ya kucha za vidole vya mkono mmoja
 
Back
Top Bottom