Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nyie mna matumaini ya kumfunga Mamelodi kwao , iweje simba muone hawezi kumfunga Ahly kwao?.Mashabiki wa simba ifikie wakati mkatae hii tabia ya viongozi wenu kuwaona nyinyi kama mbumbumbu vile.
Yaani kirahisi tu simba ikapate ushindi Misri!! Kweli? Bora hata angesema timu itaenda kupambana ili isifungwe goli nyingi (yaani Khamsa) na Waarabu.
sawa. we wait. sema match ni baada ya yanga kuchezaKama nyie mna matumaini ya kumfunga Mamelodi kwao , iweje simba muone hawezi kumfunga Ahly kwao?.
Huu ni mpira lolote laweza kutokea msikariri.
composureHivi wale wachezaji wanaofunga magoli katika zile nafasi walizopata washambuliaji wa Simba hutumia mbinu gani? Wana bahatisha au kuna siri gani?
Mtu mwenyewe anaitwa Try Again asiaminiwe na mwanasimba yeyote atatuingiza chaka kama jina lakeJapo mi sio shabik wa simba, ila amenikera hapo anapozungumzia "bahati". Hii kiukwel ni kuonana watoto
Rage alishamaliza kila kitu.Mashabiki wa simba ifikie wakati mkatae hii tabia ya viongozi wenu kuwaona nyinyi kama mbumbumbu vile.
Yaani kirahisi tu simba ikapate ushindi Misri!! Kweli? Bora hata angesema timu itaenda kupambana ili isifungwe goli nyingi (yaani Khamsa) na Waarabu.
Jamaa ni mwehu itakuwa,anaongeaje upuuzi hadharani !! Anazungumzia bahati kwenye soka kitu ambacho hakipo kabisaJapo mi sio shabik wa simba, ila amenikera hapo anapozungumzia "bahati". Hii kiukwel ni kuonana watoto
Labda kama atacheza yeye ndiyo ushindi utapatikana."Bahati haiwezi kuwa kwao kila siku, leo imekuwa bahati kwao, kesho inaweza kuwa kwetu, cha msingi kuwa na morali, umoja, upendo na kujiandaa, hatuwezi kwenda kushinda ugenini kama tutakata tamaa. — Mwenyekiti wa Bodi Simba, Salim Abdallah 'Try Again'
"Mimi naamini kwa timu tuliyonayo, kwa nyinyi mlivyo mimi naamini kabisa tunaenda kupata ushindi, tusikate tamaa hata kidogo morali yetu iwe juu kabisa kupita hii tuliyokuwa nayo mimi naamini mnaweza kufanya hivyo na tukapata ushindi ugenini." — Try Again
Thubutuuuuuuuuu! Simba kutoboa misri bado sana