Tetesi: Tsh Bilioni 425 za Mwekezaji zadaiwa kuzuiliwa Tanzania, Kenya yamshawishi ahamie kwao

Hii story kwanini itoke leo,kwanini hatukuisikia kipindi Cha uchaguzi?
Biashara zimeanza kufungwa,na hili linaibuka?kwanini leo?na sio Jana?au ni mwendo wa kuchafuana tu
 
TIC kulikua na uhujumu mwingi sana. Nadhani rais alifanya maamuzi sahihi ya kuihamishia office ya rais
Kabla ya kuanza kazi aitishe mkutano mkubwa wa wawekezaji asikie vilio kero zao dhidi ya TRA na BOT kwanza
 
Hii story kwanini itoke leo,kwanini hatukuisikia kipindi Cha uchaguzi?
Biashara zimeanza kufungwa,na hili linaibuka?kwanini leo?na sio Jana?au ni mwendo wa kuchafuana tu
Utakuwa mnufaika wa huo ufedhuri iweje uwapangie mda wa kutoa kero zao?
 
Tanzania kuna Tatizo kubwa kwenye mfumo wa pesa hususani huko BOT ndiyo maana Nchi jirani zinawashawishi wawekezaji wengi wahamie huko ambapo hawana usumbufu kwa wawekezaji
Mazingira yetu ya kiuwekezaji ni faida kubwa kwa jirani zetu na naimani majirani zetu watakuwa na maafisa vipenyo wengi katika issues za kibiashara hapa nchini wakiwashawishi hata hawa wawekezaji wachache waliobakia wahamie katika nchi zao.

Siamini kwa uwekezaji mkubwa kama wa Dangote na favourable investment environment aliyotengenezewa na awamu ya nne leo hii imegeuka kuwa negative mpaka kufikia hatua ya kuwind up investments zake Tanzania.

Sisi tunashupaza shingo wenzetu wakenya wanalegeza shingo😂😂
 
Ushasahau alisema wataishi kama mashetani?😂😂
 
Pesa zote atapewa polepole kuzitumia kudidimiza demokrasia kurejesha mfumo wa chama kimoja hawataki maendeleo kwanza mpaka upinzani upotee kabsa
Pole pole kashakuwa mbunge sasa
 
Uko Russia ya hapo buza sio?
 
Pengine wamevuta fail lake wakakuta ni Taperi furani kama lile lililotaka kuweka Treni ya kasi from Posta hadi Dsm Airport... likaja likajigamba tu and then likasepa zake.. au ndio yale ya kama kampuni za kuzalisha umeme
 
Eti pesa zilipokelewa BOT!! Sijawahi ona utopolo wa namna hii BOT haipokei pesa za wafanyabiashara bali Commercial Banks ndiyo inapokea pesa za wafanyabiashara. Kuna sehemu hii habari inaleta utopolo.
Acha Bangi zako hilo neno utopolo ni neno usilojua maana yake umekariri upumbavu wa manara wa simba unauleta hadi kwenye haki za watu, Tambua kuwa BOT ina control pesa zote tokea nje licha ya kuwa unazipitishia bank mbalimbali Tanzania, acha ushabiki wa kubariki dhuluma kishamba hivyo kwa kuwa wewe ni mnufaika wa uonevu wote unaoendelea kwenye utawala wenu.
 
Pengine wamevuta fail lake wakakuta ni Taperi furani kama lile lililotaka kuweka Treni ya kasi from Posta hadi Dsm Airport... likaja likajigamba tu and then likasepa zake.. au ndio yale ya kama kampuni za kuzalisha umeme
Waweke mfumo kama kenya Uganda pesa ikifika wanahakikisha inatumika Nchini humo humo haigeuki kwenda nje, siyo kukaa kuwadhulumu watu kisha kuwatishia kesi za utakatishaji fedha uhujumu uchumi kama BOT wafanyavyo.
 
We mburula Bot ndio inaingiza pesa za wawekezaji hapa Tz?
 
Waweke mfumo kama kenya Uganda pesa ikifika wanahakikisha inatumika Nchini humo humo haigeuki kwenda nje, siyo kukaa kuwadhulumu watu kisha kuwatishia kesi za utakatishaji fedha uhujumu uchumi kama BOT wafanyavyo.
Nani alidhulumiwa wewe pimbi usie na akili?
 
Niombeeni jamani hi kazi ningumu
 
Tanzania kuna Tatizo kubwa kwenye mfumo wa pesa hususani huko BOT ndiyo maana Nchi jirani zinawashawishi wawekezaji wengi wahamie huko ambapo hawana usumbufu kwa wawekezaji
Sas miaka miwili umeshokilia hela ya mtu angeweka fixed dipost si angezalisha mtonyo wa maana. Bora waende Kenya ndo watajifunza kitu. Mtu hela yake alafu imtese kuwekeza. Daah Kikwete alituletea Balaa mtu huyu
 
Unatakiwa ujiulize kwa niji walitaka kuja wekeza tanzania kwanza!
mpaka mtu anachagua sehemu ya kuwekeza jua kavutiwa na vitu vingi..
 
Nikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…