Spasiiba ResidenturaHata mimi nilipata wawekezaji walikuwa interested kuwekeza Tz toka hapa Russia,ila waliambiwa na "intelijensia" yao waliopo huko Tz kwamba wasubiri kwanza,maana GoT ya awamu hii haileweki.
Kuna tatizo kubwa sana huko Tanzania.
Nafikiria pia kuhamisha biashara zangu ambazo zinahamishika toka huko Tz kwenda Comoro au Ushelisheli.
Mazingira ya uwekezaji Tanzania siyo rafiki na mifumo ya kibenk pia siyo rafiki kuna mapungufu mengi mno ni vigumu Nchi kudumu kwenye uchumi wa kati kwani wafanyabiashara wengi wanaweka pesa zao kenya Uganda Zambia kwenye usalama zaidi kuliko Tanzania ambapo BOT imekuwa kikwazo cha maendeleo
Hivyo visingizio vya Alshabab mara ugaidi ndiyo hutumika kuharalisha ushetani wa kupora pesa za watu kwa njia haramu za kishamba mno, Nchi kibao hawana vikwazo vya fedha na hakuna ugaidi Malawi Zambia Bank kuu hawana vikwazo Mbona hakuna ugaidi, kwa Taarifa yako magaidi hawapendi kuweka pesa zao Bank hutembea na cash na wanajua kusafirisha pesa zao kwa njia zote pasipo kujulikana, acheni kutumia visingizio vya kishamba kupora watu pesa zaoKuna watu mnaona serekali kama wakezenu mnavo waongoza.
Ushabiki na kejeli usiokuwa na maana utakuja kutughalimu,uwezi kuingiza pesa zisizo kuwa na taarifa na zinakuja kwa ajili ya nini
Mpaka sasa kenya pesa zilizopo tuseme al shabab pesa zao zipo kenya kwa kuwa si hakuna kuulizana na kujua.pesa isiyo kuwa na maelezo wa nini kama kufika nyumbani kwako kukuta wali kuku na soda kubwa wakati uliacha elfu mbili ya ugali na maharage.halafu unafurahi kuwa mkeo wife kipepeo
Mfumo wa kibenk Tanzania ni wa hovyo bado hata watu wengi hawana imani na bank kabsa,Hivi unajua sehemu iliyokuwa ya kijinga hata benki nyingi kutaka kuja ni tanzania kutokana na ushenzi uliokuwepo zamani,dunia nzima tanzania ndio benki zenye riba za ajabu sehemu kote hakuna.sheria ikifatwa malalamiko lazimo yawepo kama ulikuwa mshenzi
Hivyo visingizio vya Alshabab mara ugaidi ndiyo hutumika kuharalisha ushetani wa kupora pesa za watu kwa njia haramu za kishamba mno, Nchi kibao hawana vikwazo vya fedha na hakuna ugaidi Malawi Zambia Bank kuu hawana vikwazo Mbona hakuna ugaidi, kwa Taarifa yako magaidi hawapendi kuweka pesa zao Bank hutembea na cash na wanajua kusafirisha pesa zao kwa njia zote pasipo kujulikana, acheni kutumia visingizio vya kishamba kupora watu pesa zao
Tuwakumbushe watawala wa Afrika kuwa kushika hatamu haukufanyi ugeuke kuwa injinia, daktari, mhasibu, mwanasayansi au mtaalam zaidi! Power doesn’t suddenly increase your knowledge or qualify you to be anything more than you were! Waache u-much-know wawe humble!Wakuu,
Nimesoma hii habari kwa masikitiko. Kama ni ya kweli, ni kweli tumedhamiria kuwa na wawekezaji wa kigeni Tanzania au ni maigizo tu?
Maamuzi haya yanaathiri sana FDIs kwa nchi yetu na tunawapa nafasi majirani kutupiga bao.
Hebu soma mwenyewe: Mizengwe: Bilioni 425 za Mwekezaji zazuiliwa Tanzania, Kenya yamshawishi ahamie kwao
Mamamamaaaaaaaa🏃🏃🏃🏃🏃🏃Basi k
Basi ni Bora TIC ihamishiwe ofisi ya Rais. Hili litafanya watu wenye nia ya kuwekeza wasaidiwe mapema zaidi.
Hamisha tu tanzania ilikuwepo kabla yako na itaendelea kuwepo hata ukihama wewe kabisa na sio biashara tu.Hata mimi nilipata wawekezaji walikuwa interested kuwekeza Tz toka hapa Russia,ila waliambiwa na "intelijensia" yao waliopo huko Tz kwamba wasubiri kwanza,maana GoT ya awamu hii haileweki.
Kuna tatizo kubwa sana huko Tanzania.
Nafikiria pia kuhamisha biashara zangu ambazo zinahamishika toka huko Tz kwenda Comoro au Ushelisheli.
habari y kuibiwa kura kwenye uchaguzi imekosa mvuto sasa mnahamia huku, huyo mwekezaji mwambie ahame hata kesho maana sio lazima kila mwekezaji awekeze tanzania tu hata somalia na sudani kusini wanahitaji wawekezaji, mwambie akaangalie fursa huko pia pia, tanzania ilikuwepo, ipo n itaendelea kuwepo.Wakuu,
Nimesoma hii habari kwa masikitiko. Kama ni ya kweli, ni kweli tumedhamiria kuwa na wawekezaji wa kigeni Tanzania au ni maigizo tu?
Maamuzi haya yanaathiri sana FDIs kwa nchi yetu na tunawapa nafasi majirani kutupiga bao.
Hebu soma mwenyewe: Mizengwe: Bilioni 425 za Mwekezaji zazuiliwa Tanzania, Kenya yamshawishi ahamie kwao
Ati nji ya Viwanda......!!!Hata mimi nilipata wawekezaji walikuwa interested kuwekeza Tz toka hapa Russia,ila waliambiwa na "intelijensia" yao waliopo huko Tz kwamba wasubiri kwanza,maana GoT ya awamu hii haileweki.
Kuna tatizo kubwa sana huko Tanzania.
Nafikiria pia kuhamisha biashara zangu ambazo zinahamishika toka huko Tz kwenda Comoro au Ushelisheli.
habari y kuibiwa kura kwenye uchaguzi imekosa mvuto sasa mnahamia huku, huyo mwekezaji mwambie ahame hata kesho maana sio lazima kila mwekezaji awekeze tanzania tu hata somalia na sudani kusini wanahitaji wawekezaji, mwambie akaangalie fursa huko pia pia, tanzania ilikuwepo, ipo n itaendelea kuwepo.
Ficheni ujinga wenu. Pesa isiyo na maelezo ingewahusisha BOT na TIC?? Kama mlikuwa na shida zenu mkala pesa za watu semeni sio kuleta visingizioKuna watu mnaona serekali kama wakezenu mnavo waongoza.
Ushabiki na kejeli usiokuwa na maana utakuja kutughalimu,uwezi kuingiza pesa zisizo kuwa na taarifa na zinakuja kwa ajili ya nini
Mpaka sasa kenya pesa zilizopo tuseme al shabab pesa zao zipo kenya kwa kuwa si hakuna kuulizana na kujua.
Pesa isiyo kuwa na maelezo wa nini kama kufika nyumbani kwako kukuta wali kuku na soda kubwa wakati uliacha elfu mbili ya ugali na maharage.halafu unafurahi kuwa mkeo wife kipepeo
Mfanya biashara Ramadhani Ntunzwe aliongea hadharani mbele ya wenye nchi lakini bado analia na kusaga meno.Tanzania sasa kuna wimbi la kuwafungia wafanyabiashara A/C hovyo hovyo kisha kuwatishia kesi za uhujumu uchumi ( blackmail) wapo wajanja wachache hutumia jina la mtukufu kuwatesa wafanyabiashara kuwabambikia kodi kubwa na uonevu mwingineo kibao, magufuli itisha mkutano wa wafanyabiashara wakubwa na wa kati wanaruhusu watoe kero zao utashangaa kusikia unyanyasaji uonevu wanaofanyiwa kimya kimya
Hii story kwanini itoke leo,kwanini hatukuisikia kipindi Cha uchaguzi?
Biashara zimeanza kufungwa,na hili linaibuka?kwanini leo?na sio Jana?au ni mwendo wa kuchafuana tu
Endelea kukalili madesa ya nyambali nyangwineHujui kitu mamlaka zinazoweza kuzuia pesa yoyote iliyoko kwenye account za benki kwa mujibu wa sheria zetu ni law enforcement agencies (Police and PCCB) na mahakama tu and not otherwise!
Wakuu,
Nimesoma hii habari kwa masikitiko. Kama ni ya kweli, ni kweli tumedhamiria kuwa na wawekezaji wa kigeni Tanzania au ni maigizo tu?
Maamuzi haya yanaathiri sana FDIs kwa nchi yetu na tunawapa nafasi majirani kutupiga bao.
Hebu soma mwenyewe: Mizengwe: Bilioni 425 za Mwekezaji zazuiliwa Tanzania, Kenya yamshawishi ahamie kwao