Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
Hapo kuna tatizo na hao shareholders wa ndani. Tatizo la JF hii habari ipo mwaka mzima na inaandikwa nusu nusu kukidhi matakwa ya wanaoneemeka na huo mradi. Wasitutishe kuondoa pesa zao tumejipanga vizuri wala hatutetereki wengine wawekezaji watakuja kama wao wameamua kudhulumiana.