Tsh bilioni 83 zatolewa kama mikopo kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu

Tsh bilioni 83 zatolewa kama mikopo kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu

CM 1774858

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
6,157
Reaction score
5,451
===
Rais Samia atoa TZS83bn ikiwa ni 10% kwa Vijana 4%, Wanawake4% na wenye Ulemavu 2%. Wakati Rais Samia anaingia madarakani mwaka 2021, mikopo ya 10% iliyotolewa na halmashauri zote nchini ilikuwa ni TZS22.3bn.

Vikundi vya wanawake walipata 4%, vijana 4% na watu wenye ulemavu walipata 2%. Mwaka 2025 mikopo hiyo imeongezeka zaidi ya mara tatu na kufikia jumla ya TZS82.84bn ikiwa ni ongezeko la shilingi TZS60.54bn sawa na 271%. Katika fedha hizo, TZS40.71bn zimetolewa kwa vikundi vya wanawake, TZS36.64bn kwa vikundi vya vijana na TZS5.48bn kwa vikundi vya watu wa ulemavu.

Kupitia mikopo hii ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu imewasaidia kuanzisha shughuli mbalimbali za uzalishaji mali ambazo zimewakwamua kiuchumi.​
 
Rais Samia atoa TZS83bn ikiwa ni 10% kwa Vijana 4%, Wanawake4% na wenye Ulemavu 2%.
  • Wakati Rais Samia anaingia madarakani mwaka 2021, mikopo ya 10% iliyotolewa na halmashauri zote nchini ilikuwa ni TZS22.3bn.
  • Vikundi vya wanawake walipata 4%, vijana 4% na watu wenye ulemavu walipata 2%. Mwaka 2025 mikopo hiyo imeongezeka zaidi ya mara tatu na kufikia jumla ya TZS82.84bn ikiwa ni ongezeko la shilingi TZS60.54bn sawa na 271%. Katika fedha hizo, TZS40.71bn zimetolewa kwa vikundi vya wanawake, TZS36.64bn kwa vikundi vya vijana na TZS5.48bn kwa vikundi vya watu wa ulemavu.
  • Kupitia mikopo hii ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu imewasaidia kuanzisha shughuli mbalimbali za uzalishaji mali ambazo zimewakwamua kiuchumi. (Source Hotuba ya waziri mkuu 2024 na 2021)


Tunaomba ushahdi wa ndugu yako au mtu wako wa karibu ambae kapata huu mkopo
 
Utapeli mwingi sana eti hadi uwe na hati ya Nyumba mimi napata wapi Wakati Baba angu hana nyumba
 
Rais Samia atoa TZS83bn ikiwa ni 10% kwa Vijana 4%, Wanawake4% na wenye Ulemavu 2%.
  • Wakati Rais Samia anaingia madarakani mwaka 2021, mikopo ya 10% iliyotolewa na halmashauri zote nchini ilikuwa ni TZS22.3bn.
  • Vikundi vya wanawake walipata 4%, vijana 4% na watu wenye ulemavu walipata 2%. Mwaka 2025 mikopo hiyo imeongezeka zaidi ya mara tatu na kufikia jumla ya TZS82.84bn ikiwa ni ongezeko la shilingi TZS60.54bn sawa na 271%. Katika fedha hizo, TZS40.71bn zimetolewa kwa vikundi vya wanawake, TZS36.64bn kwa vikundi vya vijana na TZS5.48bn kwa vikundi vya watu wa ulemavu.
  • Kupitia mikopo hii ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu imewasaidia kuanzisha shughuli mbalimbali za uzalishaji mali ambazo zimewakwamua kiuchumi. (Source Hotuba ya waziri mkuu 2024 na 2021)
Hizi pesa ni Katika pesa zinazopotea kirahisi sana. Ukirudi miaka mitano baadaye unakuta miradi yote ya hivi imekufa na hakuna hata unyoya.

Pesa hizi wangekopeshwa wenye uwezo wa biashara zingetengeneza maelfu ya ajira.
 
Back
Top Bottom