Rais Samia atoa TZS83bn ikiwa ni 10% kwa Vijana 4%, Wanawake4% na wenye Ulemavu 2%.
- Wakati Rais Samia anaingia madarakani mwaka 2021, mikopo ya 10% iliyotolewa na halmashauri zote nchini ilikuwa ni TZS22.3bn.
- Vikundi vya wanawake walipata 4%, vijana 4% na watu wenye ulemavu walipata 2%. Mwaka 2025 mikopo hiyo imeongezeka zaidi ya mara tatu na kufikia jumla ya TZS82.84bn ikiwa ni ongezeko la shilingi TZS60.54bn sawa na 271%. Katika fedha hizo, TZS40.71bn zimetolewa kwa vikundi vya wanawake, TZS36.64bn kwa vikundi vya vijana na TZS5.48bn kwa vikundi vya watu wa ulemavu.
- Kupitia mikopo hii ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu imewasaidia kuanzisha shughuli mbalimbali za uzalishaji mali ambazo zimewakwamua kiuchumi. (Source Hotuba ya waziri mkuu 2024 na 2021)