CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 6,157
- 5,451
dawa ya deni ni kulipaMimi nilipiga 5M ila marejesho yananitesa sana Mama Samia
Rais Samia atoa TZS83bn ikiwa ni 10% kwa Vijana 4%, Wanawake4% na wenye Ulemavu 2%.
- Wakati Rais Samia anaingia madarakani mwaka 2021, mikopo ya 10% iliyotolewa na halmashauri zote nchini ilikuwa ni TZS22.3bn.
- Vikundi vya wanawake walipata 4%, vijana 4% na watu wenye ulemavu walipata 2%. Mwaka 2025 mikopo hiyo imeongezeka zaidi ya mara tatu na kufikia jumla ya TZS82.84bn ikiwa ni ongezeko la shilingi TZS60.54bn sawa na 271%. Katika fedha hizo, TZS40.71bn zimetolewa kwa vikundi vya wanawake, TZS36.64bn kwa vikundi vya vijana na TZS5.48bn kwa vikundi vya watu wa ulemavu.
- Kupitia mikopo hii ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu imewasaidia kuanzisha shughuli mbalimbali za uzalishaji mali ambazo zimewakwamua kiuchumi. (Source Hotuba ya waziri mkuu 2024 na 2021)
mbona ndg zako kibao wamepata huo mkopoTunaomba ushahdi wa ndugu yako au mtu wako wa karibu ambae kapata huu mkopo
mbona ndg zako kibao wamepata huo mkopo
TAFUTA WADHAMINIUtapeli mwingi sana eti hadi uwe na hati ya Nyumba mimi napata wapi Wakati Baba angu hana nyumba
Huu mkopo si ndio yule waziri wa nini alisema kama kuna kijana hajapata mkopo huyo sio MTANZANIA na tukapewa uraia wa BURUNDI au mnaji maharishi Wakuu.mbona ndg zako kibao wamepata huo mkopo
ndioKodi zetu
sawMimi nilipiga 5M ila marejesho yananitesa sana Mama Samia
Umerejesha vizuri?Mimi nilipiga 5M ila marejesho yananitesa sana Mama Samia
WAPO WENGI SANATunaomba ushahdi wa ndugu yako au mtu wako wa karibu ambae kapata huu mkopo
Hizi pesa ni Katika pesa zinazopotea kirahisi sana. Ukirudi miaka mitano baadaye unakuta miradi yote ya hivi imekufa na hakuna hata unyoya.Rais Samia atoa TZS83bn ikiwa ni 10% kwa Vijana 4%, Wanawake4% na wenye Ulemavu 2%.