Tsh bilioni 83 zatolewa kama mikopo kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu

Na asiye mwanamke, kijana au mlemavu amezingatiwa wapi?
 
SI mnatukopesha NYIE mnajjlipa kwa wizi WA MAbilioni hakika hili chozi tunayo lia IPO SIKU yatajibiwa mna iba MAbilioni ALAF hata hua hayawasaidii CHOCHOTE. Kuwaongezea mapresha tu
 
Tumeomba toka mwaka 2023 mwishoni hadi leo hamna kitu zaidi ya kuambiwa tutoe sijui elf50 ili zikakwamue process mara sijui tuoe laki tumpe nauli mwenyekiti afuatilie wizi mtupu
 
Hizi pesa ni Katika pesa zinazopotea kirahisi sana. Ukirudi miaka mitano baadaye unakuta miradi yote ya hivi imekufa na hakuna hata unyoya.

Pesa hizi wangekopeshwa wenye uwezo wa biashara zingetengeneza maelfu ya ajira.
VIJANA MCHONGO HUU
 
Hongera sana Rais Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…