chief_mtemi
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 529
- 121
Nakushauri ufanye biashara ya kilimo; kwa mfano mpunga, nyanya au vitunguu, kwavile na wewe unaishi huko2 itakua rahisi kusimamia mradi wako, hiyo itakutoa tu!Habari wana jf.mm ninaishi morogoro nina fedha tasilimu milio tatu tu naomba msaada wa ushauri wa biashara madhubuti ambayo inanweza kuifanya ila pia nipo tayari hata kwa tanga kuhamia kama kwa wenye ufahamu wa ilo
Habari wana jf.mm ninaishi morogoro nina fedha tasilimu milio tatu tu naomba msaada wa ushauri wa biashara madhubuti ambayo inanweza kuifanya ila pia nipo tayari hata kwa tanga kuhamia kama kwa wenye ufahamu wa ilo
Sembe bhana inalipa sanaaa...
najua moro ardhi si aghali sana, tafuta hekali moja kwa atleast shs.500,000 kiasi 1,000,000 jenga banda la mbuzi, shs.1,000,000 nunua mbuzi ama kondoo 20@shs.50,000 ila unaweza pata hata chini kwa shs.25,000-50,000 jitahidi upate kwa bei nafuu ili upate wengi - ila majike wawe wengi zaidi, shs.500,000 kwa ajili ya madawa na ufugaji, kwa kuwa mbuzi anazaa 2 kwa mwaka - ninaamini mwaka kesho muda kama huu unaweza kuharibu soko la mbuzi huko vigunguti
chakuzingati chuja pumba hapa jukwaani
asntee mkuu kwasasa mbuzi bei gan dar ni wazo nzuri sana ila nashaka na sehemu ya kufugia vp nikianza nunua na kuleta dar je
thanx mkuu sasa sembe soko lake wap hasa na nanunua mashineni au nakobolesha mwenyewe mahindi
Hili wazo nitalifanyia kazi.Kwenye peak seasoan (high demand) kama mida ya siku kuu hizi - Mbuzi ama Kondoo anakwenda hadi 100,000 shs au zaidi, sehemu ya kufugia - nimeshauri utumie shs.500,000 kununua/ pata eneo lako ili uwafunge/uwafuge hapo, na shs.1,000,000 ujenge banda simple kwa ajili ya mbuzi kulala na mfanyakazi wa kusimamia, ndio unaweza kuanza kununua mbuzi na kuwaleta dar - ila utakuwa na changamoto ya ongezeko ya gharama za uendeshaji (variable costs)Mf.kusafiri hadi shy, sgda, mza ama tabora kuzunguka kwenye minada kwa ajili ya kutafuta mbuzi wa kutosha "mind you" unatakiwa kukodi gari la kuwafikisha dar "sokoni", kukodi watu wa kuwachunga mpaka mzigo utimie kabla ya kupata usafiri, mie naona ni bora kuwa na rachi yako ya mbuzi na wanunuzi wafike wenyewe kwenye banda/ranchi yako na kuchukua wenyewe kwa ghrama zao badala ya wewe kuhangaika na ukusanyaji, jambo lingine kwa kuwa na rachi yako mwenyewe ni fursa nzuri kwako ku- diversify biashara yako hiyo - hata kwa kupata mkopo wa benk kwa ajili ya expansion - maana utakuwa na aridhi na mifugo inaonekana kwa hio inakuwa rahisi kwako kujenga hoja kwa afisa mikopo yeyote na ukapata mkopo kuliko hilo wazo la kimachinga la kufuata mbuzi huko mikoani na kuileta dar
Hili wazo nitalifanyia kazi.
thanx mkuu sasa sembe soko lake wap hasa na nanunua mashineni au nakobolesha mwenyewe mahindi