Tsh Milion tatu (3,000,000) tasilimu

Tsh Milion tatu (3,000,000) tasilimu

chief_mtemi

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
529
Reaction score
121
Habari wana jf.mm ninaishi morogoro nina fedha tasilimu milio tatu tu naomba msaada wa ushauri wa biashara madhubuti ambayo inanweza kuifanya ila pia nipo tayari hata kwa tanga kuhamia kama kwa wenye ufahamu wa ilo
 
Angalia, kuna matapeli wengi. Anza na biashara ndogo ndogo kama kuuza karanga!
 
Habari wana jf.mm ninaishi morogoro nina fedha tasilimu milio tatu tu naomba msaada wa ushauri wa biashara madhubuti ambayo inanweza kuifanya ila pia nipo tayari hata kwa tanga kuhamia kama kwa wenye ufahamu wa ilo
Nakushauri ufanye biashara ya kilimo; kwa mfano mpunga, nyanya au vitunguu, kwavile na wewe unaishi huko2 itakua rahisi kusimamia mradi wako, hiyo itakutoa tu!
 
Tafuta shamba huko Moro bhana ulime i mean u2mie hyo hela kulima ndan ya miaka 2 utahamia pengne. Au kuna ishu ya bodaboda 2mil thn hyo iliyobk akiba
 
Habari wana jf.mm ninaishi morogoro nina fedha tasilimu milio tatu tu naomba msaada wa ushauri wa biashara madhubuti ambayo inanweza kuifanya ila pia nipo tayari hata kwa tanga kuhamia kama kwa wenye ufahamu wa ilo

Jaribu kukodi shamba la mpunga au mahindi ulime kwa m2 afu hiyo m1 ujitahid kufanya km kazi ya kulima, madawa, magunia na emergence zingine.
Asante
 
kilimo kinalipa zaidi mkuu kwa sasa
 
najua moro ardhi si aghali sana, tafuta hekali moja kwa atleast shs.500,000 kiasi 1,000,000 jenga banda la mbuzi, shs.1,000,000 nunua mbuzi ama kondoo 20@shs.50,000 ila unaweza pata hata chini kwa shs.25,000-50,000 jitahidi upate kwa bei nafuu ili upate wengi - ila majike wawe wengi zaidi, shs.500,000 kwa ajili ya madawa na ufugaji, kwa kuwa mbuzi anazaa 2 kwa mwaka - ninaamini mwaka kesho muda kama huu unaweza kuharibu soko la mbuzi huko vigunguti
 
asntee mkuu kwasasa mbuzi bei gan dar ni wazo nzuri sana ila nashaka na sehemu ya kufugia vp nikianza nunua na kuleta dar je
 
chakuzingati chuja pumba hapa jukwaani

yap mkuu nipo makini maana kuna wengine wapo tu ikimradi wameandika sasa huyu ananiambia nigombee ubunge kwani nayo biashara si bora nikatoe sadaka kwa yatima nipate thawabu ijulikane moja tu
 
Jitahidi ufanyie biashara yako hapo hapo morogoro,
ukisogea nayo dar
ni hela ya matumizi ya kawaida tu.
 
Kwenye peak seasoan (high demand) kama mida ya siku kuu hizi - Mbuzi ama Kondoo anakwenda hadi 100,000 shs au zaidi, sehemu ya kufugia - nimeshauri utumie shs.500,000 kununua/ pata eneo lako ili uwafunge/uwafuge hapo, na shs.1,000,000 ujenge banda simple kwa ajili ya mbuzi kulala na mfanyakazi wa kusimamia, ndio unaweza kuanza kununua mbuzi na kuwaleta dar - ila utakuwa na changamoto ya ongezeko ya gharama za uendeshaji (variable costs)Mf.kusafiri hadi shy, sgda, mza ama tabora kuzunguka kwenye minada kwa ajili ya kutafuta mbuzi wa kutosha "mind you" unatakiwa kukodi gari la kuwafikisha dar "sokoni", kukodi watu wa kuwachunga mpaka mzigo utimie kabla ya kupata usafiri, mie naona ni bora kuwa na rachi yako ya mbuzi na wanunuzi wafike wenyewe kwenye banda/ranchi yako na kuchukua wenyewe kwa ghrama zao badala ya wewe kuhangaika na ukusanyaji,au ni afadhali uwe na mzigo (mbuzi) wengi sehemu moja (kwenye eneo lako) na kukodi gari la ambalo litakuja mara moja na kuchukua mzigo kwa pamoja (gharama itakuwa kdg) kuliko kununua kwa kukusanya.
Kwa kuwa na rachi yako mwenyewe ni fursa nzuri kwako ku- diversify biashara yako hiyo - hata kwa kupata mkopo wa benk kwa ajili ya expansion - maana utakuwa na aridhi na mifugo inaonekana kwa hio inakuwa rahisi kwako kujenga hoja kwa afisa mikopo yeyote na ukapata mkopo kuliko hilo wazo la kimachinga la kufuata mbuzi huko mikoani na kuileta dar
asntee mkuu kwasasa mbuzi bei gan dar ni wazo nzuri sana ila nashaka na sehemu ya kufugia vp nikianza nunua na kuleta dar je
 
Kwenye peak seasoan (high demand) kama mida ya siku kuu hizi - Mbuzi ama Kondoo anakwenda hadi 100,000 shs au zaidi, sehemu ya kufugia - nimeshauri utumie shs.500,000 kununua/ pata eneo lako ili uwafunge/uwafuge hapo, na shs.1,000,000 ujenge banda simple kwa ajili ya mbuzi kulala na mfanyakazi wa kusimamia, ndio unaweza kuanza kununua mbuzi na kuwaleta dar - ila utakuwa na changamoto ya ongezeko ya gharama za uendeshaji (variable costs)Mf.kusafiri hadi shy, sgda, mza ama tabora kuzunguka kwenye minada kwa ajili ya kutafuta mbuzi wa kutosha "mind you" unatakiwa kukodi gari la kuwafikisha dar "sokoni", kukodi watu wa kuwachunga mpaka mzigo utimie kabla ya kupata usafiri, mie naona ni bora kuwa na rachi yako ya mbuzi na wanunuzi wafike wenyewe kwenye banda/ranchi yako na kuchukua wenyewe kwa ghrama zao badala ya wewe kuhangaika na ukusanyaji, jambo lingine kwa kuwa na rachi yako mwenyewe ni fursa nzuri kwako ku- diversify biashara yako hiyo - hata kwa kupata mkopo wa benk kwa ajili ya expansion - maana utakuwa na aridhi na mifugo inaonekana kwa hio inakuwa rahisi kwako kujenga hoja kwa afisa mikopo yeyote na ukapata mkopo kuliko hilo wazo la kimachinga la kufuata mbuzi huko mikoani na kuileta dar
Hili wazo nitalifanyia kazi.
 
Mkuu karibu jaribu, hii nchi ni rahisi sana kupiga hatua iwapo unaamua na kupaata kipato cha ziada bila kutoa jasho jingi na ukatengeneza ajira hata kwa wenzako na ukapata heshima with clean money, ila cha msingi ukiwa unawaza wazo hili jitahidi kutafuta eneo ambalo lina maji - ili mifugo yako isipate shida wakati wa kiangazi.
Siku zote kazi ngumu ni kuthubutu, na mwanzo ni mgumu
Hili wazo nitalifanyia kazi.
 
Back
Top Bottom