MC RAS PAROKO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 623
- 606
Mkuu, kama hutojali naomba ufafanue hi hoja yako..Watanzania wengi tunazika mitaji/pesa kweny nyumba za kuishi na hazituzalishii chochote zaidi ya kutuongezea gharama. ningekua wewe hiyo pesa naiweka sehemu iwe inanilazishia 750,000 kwa mwaka bila mimi kufanya kazi wala chochote, then naendelea kupanga kwa miaka mingine 5 baada ya hapo ningetumia saving kujenga hiyo nyumba. nikimaliza nakuwa nimebaki na 5M yangu na kipato cha 750k kwa mwaka x miaka 20.
Hakuna fixed account inatoa kiwango hicho.Mkuu, kama hutojali naomba ufafanue hi hoja yako..
750,000/= kwa mwaka, ina maana mapato kwa mwezi 62,500/= I guess una maanisha niweke kwenye fixed account?
Sasa si ndo ueleze hapa ni uwekezaji upi huo uliomaanisha? Elezea hapaHakuna fixed account inatoa kiwango hicho.
ela yenyewe ya mkopo hyo njoo huku nikufundishe kubeti upate mara 3 ya hyo ndo ujenge nyumbaHabari za jioni wakuu..
Naomba kuuliza je kwa bajeti ya Tsh Milioni 5 inaweza kujenga nyumba ya vyumba 2 na sebule?
Simple but classic
Watanzania wengi tunazika mitaji/pesa kweny nyumba za kuishi na hazituzalishii chochote zaidi ya kutuongezea gharama. ningekua wewe hiyo pesa naiweka sehemu iwe inanilazishia 750,000 kwa mwaka bila mimi kufanya kazi wala chochote, then naendelea kupanga kwa miaka mingine 5 baada ya hapo ningetumia saving kujenga hiyo nyumba. nikimaliza nakuwa nimebaki na 5M yangu na kipato cha 750k kwa mwaka x miaka 20.
Haijalishi kikubwa n kuwa na chanzo cha kipato kabla ya kwenda kuzika pesa.Wakati huo na vifaa vya ujenzi navyo vinaendelea kupanda bei
Haijalishi kikubwa n kuwa na chanzo cha kipato kabla ya kwenda kuzika pesa.
Nakwambia yaani hapa watu wanazingumza million 50 kuendelea sasa kweli sie wenye roho nyepesi sii tunaishia kuona bora tukagegede mbususu tuuHumu jf hata mil 15 tu haijengi, ila nadhani huko nje inawezekana kabisa....
Labda single room houseHabari za jioni wakuu..
Naomba kuuliza je kwa bajeti ya Tsh Milioni 5 inaweza kujenga nyumba ya vyumba 2 na sebule?
Simple but classic