Tsh Milioni 5 inaweza kujenga nyumba?

Tsh Milioni 5 inaweza kujenga nyumba?

Watanzania wengi tunazika mitaji/pesa kweny nyumba za kuishi na hazituzalishii chochote zaidi ya kutuongezea gharama. ningekua wewe hiyo pesa naiweka sehemu iwe inanilazishia 750,000 kwa mwaka bila mimi kufanya kazi wala chochote, then naendelea kupanga kwa miaka mingine 5 baada ya hapo ningetumia saving kujenga hiyo nyumba. nikimaliza nakuwa nimebaki na 5M yangu na kipato cha 750k kwa mwaka x miaka 20.
 
Mkuu, kama hutojali naomba ufafanue hi hoja yako..

750,000/= kwa mwaka, ina maana mapato kwa mwezi 62,500/= I guess una maanisha niweke kwenye fixed account?
 
Eneo husika unalojenga ndio mwamzi sahihi na si michango yetu hapa tunayoitoa kwa kuzingatia maeneo yetu.
Nilipo mimi na kwa haraka haraka hiyo nyumba ingehitaji:
1. Tofali 1800 @sh. 100
2. Saruji mifuko 45 @sh. 19,500
3. Mchanga trip 10 @sh. 30,000
4. Maji lita 40,000@sh. 6
5. Nondo 10@ sh. 21,000
6. Binding wire 6 za mm 6 @ sh. 6000
7. Kokoto ndoo 100 @sh. 600
8. Mchanga wa kujengea trip 5@ 30,000
9. Fundi na kibarua wake wanakula sh. 500,000
Hadi hapa ungetumia 2,181,500
 
Nimekutafakari, nimekutathmini, nikafikiria nikujibu nini ila wacha nikuache tu.

Si kosa lako bali uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo, pole sana.
 
Watanzania wengi tunazika mitaji/pesa kweny nyumba za kuishi na hazituzalishii chochote zaidi ya kutuongezea gharama. ningekua wewe hiyo pesa naiweka sehemu iwe inanilazishia 750,000 kwa mwaka bila mimi kufanya kazi wala chochote, then naendelea kupanga kwa miaka mingine 5 baada ya hapo ningetumia saving kujenga hiyo nyumba. nikimaliza nakuwa nimebaki na 5M yangu na kipato cha 750k kwa mwaka x miaka 20.

Wakati huo na vifaa vya ujenzi navyo vinaendelea kupanda bei
 
Haijalishi kikubwa n kuwa na chanzo cha kipato kabla ya kwenda kuzika pesa.

Kumbuka hata ukijenga kwako utakua unasevu hela uliyotakiwa kulipa kodi na unaweza kufanya mengine ya maana kwa hio hela mf.mtu analipa laki mbili na nusu kwa mwezi ,kwa mwaka anajikuta amelipa 3m ,ukiwa na kwako hii 3m utaisevu na kufanya mambo mengine
 
Hajaeleza nyumba ya aina ghan na maeneo ghan!! Maana kila eneo na gharama zake za ujenzi
 
Back
Top Bottom