MC RAS PAROKO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 623
- 606
Watanzania wengi tunazika mitaji/pesa kweny nyumba za kuishi na hazituzalishii chochote zaidi ya kutuongezea gharama. ningekua wewe hiyo pesa naiweka sehemu iwe inanilazishia 750,000 kwa mwaka bila mimi kufanya kazi wala chochote, then naendelea kupanga kwa miaka mingine 5 baada ya hapo ningetumia saving kujenga hiyo nyumba. nikimaliza nakuwa nimebaki na 5M yangu na kipato cha 750k kwa mwaka x miaka 20.