joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kama nyie mnavyo jitegemea kila siku mnaulizia bil 20 na Mo mwaka jana alisema matoa bil 50 plus na hizi saba ni 57,yaani kwa kifupi MO anawadai.Bado kuwauza maana kwa hiyo bil 57-20bil,anaweza wanunua mpaka mashabiki na kuna uwezekano amesha wanunua ila hamjui tuu.GSM ni Gulamali aliyepooza. Yanga bwana mmewaimba sana watu wa namna hii, masponsa wanaowaweka mjini. Wakitokea watu kuwaelimisha mjitegemee mnawaona maadui