Tshisekedi atakimbia nchi

Tshisekedi atakimbia nchi

Dalili zote ni kwamba,huyu jamaa atakimbia nchi maana hana jeshi,ha hata sijui anafanya nini hivi sasa
Badala ya kujipamga kijeshi yeye mguu kwa mguu ulaya,wenzake walijipanga kufanya usaliti zamani sana yule rasi aliyetoka ana asili ya rwanda kwa hyo alikuwa vzur na kagame wamepanga kumuchomoa ili kuendelea kuvuna madini sasa yeye baada ya kutulia na kulipanga jeshi liwe imara kika saa yuko ulaya.
 
Back
Top Bottom