Tshisekedi atakimbia nchi

Tshisekedi atakimbia nchi

Si angekodi wanajeshi wengi wa kizungu?

Nini matumizi ya pesa za madini?
Inawezekana hakuwa na misingi mizuri na huko nje; nadhani angeshirikisha Urusi au Iran wangeweza kumsaidia kwa haraka zaidi
 
Wenzake wanamchora tu.
Hakuna nchi inayopigana upande wake isipokuwa wanalinda amani, sijui amani gani
 
Inawezekana hakuwa na misingi mizuri na huko nje; nadhani angeshirikisha Urusi au Iran wangeweza kumsaidia kwa haraka zaidi
We unachekesha kweli 😂😂 lran na urussi waliokimbia wagambo syria kwenye jangwa ndio wapigane kwenye misitu ya congo na huyo lrani aliye pigwa kofi moja la mwana ukome na babu netanyau aje M23 wawakamue mavi unafikiri hawajipendi nini?
 
Kwa huku Afrika teknolojia ni ndogo, wangeweza kuwadhibiti
 
Back
Top Bottom