Dk 93 holaa...uje uzidi kwa penalty moja kisha Mayoweee...kama nini.
We dakka 93 ulifunga mangapi mkuuDk 93 holaa...uje uzidi kwa penalty moja kisha Mayoweee...kama nini.
[emoji23] [emoji23]
mkuu vipiAngalieni mpira wake. Ndemeti!
mkuu swalamaa?hata Mafisango alikuwa na hizo mambo, kipindi kile smartphone hazikuwa zimezagaa ki hivyo ndio maana halikuvuma sana. Kwa sisi tuliokuwa tunaenda pale uwanja wa Taifa & na ule wa Bibi tulikuwa tunamuone vyema.
haha naona lichaputa imewatoa kijasho leoMashabiki wa Simba huwa wanaongea Pumba tu.
Hawana ya maana ya kuongea...sasahv hot news kwao ndio kama hii na kushabikia ule ushindi wa goli moja la penalty.
Umbumbumbu.
Tuna kazi na hawa watu wasioenda uwanjani. Kelele nyingi lakini mpira wao ni kwenye Tv na magazetihata Mafisango alikuwa na hizo mambo, kipindi kile smartphone hazikuwa zimezagaa ki hivyo ndio maana halikuvuma sana. Kwa sisi tuliokuwa tunaenda pale uwanja wa Taifa & na ule wa Bibi tulikuwa tunamuone vyema.
Tuna kazi na hawa watu wasioenda uwanjani. Kelele nyingi lakini mpira wao ni kwenye Tv na magazeti
mkuu swalamaa?
lipuli wazima?
Swalama kabisa. Habari yako ikoje?
Wazima kabisa....wamefanikiwa kuondoka na alama 1 kutoka kwa mabingwa wa kihistoria wa LigiKuu Tanzania Bara.lipuli wazima?
Na Kiba tunaangalia muziki wake pia. Nakubaliana nawe.Angalieni mpira wake. Ndemeti!