Man Thom
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 732
- 905
Hahah hah hah kweli Okwi sio wa mchezo mchezo dah staili ya huyu Tshitshimbi imeniacha hoi, kazi anayo mwaka huu!Wewe ndio kopo tupu kabsaa
Wewe ndio kopo tupu kabsaa![]()
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah hah hah kweli Okwi sio wa mchezo mchezo dah staili ya huyu Tshitshimbi imeniacha hoi, kazi anayo mwaka huu!Wewe ndio kopo tupu kabsaa
Wewe ndio kopo tupu kabsaa![]()
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Anzeni na Tshabalala kwanzaMwambieni uyo mwanaume atoe kikuku mguuni noma sana
Hukuwepo uwanjani ngao ya Jamii??? Siku hiyo alivaa, mechi ya lipuli akavuliwa battery ikakata Moto!Onesha picha ya akiwa amevaa kikuku
onesha picha acha porojoHukuwepo uwanjani ngao ya Jamii??? Siku hiyo alivaa, mechi ya lipuli akavuliwa battery ikakata Moto!![]()
Pogba wa tz nchi imekushinda!
weka pichaShilole anavaa KIKUKU MGUUNI na TSHISHIMBI anavaa KIKUKU pia.. Sasa kakosea wp MANARA kuwafananisha?wacheni UNAZI watu wa MGONGO WAZI FC
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Juma nyoso anachezea timu Gani?? Waje wakutane na huyu mdebwedo??Aisee hatari sana
sijuiHivi Juma nyoso anachezea timu Gani?? Waje wakutane na huyu mdebwedo??
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Sio kila kitu utafuniwe mkuu, kesho nenda hapo bwawani kwenu-jangwani utamuona na vikuku vyake!sijaomba hii..nimeomba ya Tshishimbi akiwa na hicho kikuku
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Sio kila kitu utafuniwe mkuu, kesho nenda hapo bwawani kwenu-jangwani utamuona na vikuku vyake!sijaomba hii..nimeomba ya Tshishimbi akiwa na hicho kikuku
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Naona umekosa ushahidi mkuuSio kila kitu utafuniwe mkuu, kesho nenda hapo bwawani kwenu-jangwani utamuona na vikuku vyake!
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Mchawi anajuana na Mchawi mwenzake kwahiyo wewe kama umejua manara sio rizk bac wote wamoja nyieNdo maana wanawaita wamatopeni, hivi yeye wangemwita mtoto sio riziki angesemaje, huyu brother ni wakumsamehe akili ni nywere
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea watu gani wa Simba unaowaongelea. Mm ni mwanachama lkn simkubali kabisa huyu dogo na sijui hata waliomuajiri walitumia vigezo gani !!Kama unataka kuyasikia matusi mapya hapa Duniani kutoka kwa mashabiki wa Simba, muite huyo mtu wao "Zeruzeru" wenyewe wanafurai zaidi ukimuita Albino mana ni Kingreza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi wewe simba nyau, sisi tunamkubali sana Manala na amsha amsha zakeInategemea watu gani wa Simba unaowaongelea. Mm ni mwanachama lkn simkubali kabisa huyu dogo na sijui hata waliomuajiri walitumia vigezo gani !!
Hatuwezi kusema tuna Simba mpya na watu km huyu...
Mkongomani huyo. Vitu vya kawaida kwa akina Nyoshi, Koffi and the likes