Tshishimbi kutinda nyusi na kikuku

Tshishimbi kutinda nyusi na kikuku

Wewe ndio kopo tupu kabsaa

Wewe ndio kopo tupu kabsaa
f775ca82fd5c7e548569551cb9e19bc5.jpg

Pogba wa tz nchi imekushinda!
Hahah hah hah kweli Okwi sio wa mchezo mchezo dah staili ya huyu Tshitshimbi imeniacha hoi, kazi anayo mwaka huu!
 
Huyu jamaa ni kumpiga pesa tu,.. Maana anashindwa kutumia kaakili kalikobakiwa nako, kanaanza kuwaona watu hawana maneno..
 
Huyu jamaa ni kumpiga pesa tu,.. Maana anashindwa kutumia kaakili kalikobakiwa nako, kanaanza kuwaona watu hawana maneno... Huyo mgonjwa wa Trachoma subir tumuweke sawa
a1218a177b10d1a5a04e9b24a780c6bb.yjpg

Nanoli Ulikuwa unafanyeje hapo juu???

Pogba wa tz nchi imekushinda!
78b1e062771a649f0d4e47931376744d.jpg
 
Hukuwepo uwanjani ngao ya Jamii??? Siku hiyo alivaa, mechi ya lipuli akavuliwa battery ikakata Moto!
a0ccf32c677a1eb1a37e061c4d0cdfca.jpg

Pogba wa tz nchi imekushinda!
onesha picha acha porojo

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Hivi Juma nyoso anachezea timu Gani?? Waje wakutane na huyu mdebwedo??

Pogba wa tz nchi imekushinda!
sijui

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
sijaomba hii..nimeomba ya Tshishimbi akiwa na hicho kikuku

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Sio kila kitu utafuniwe mkuu, kesho nenda hapo bwawani kwenu-jangwani utamuona na vikuku vyake!

Naona umekosa ushahidi mkuu

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Rafiki zake wamueleze ukweli, ana mapungufu mengi saana atambue kuwa anastahiwa sababu ya Mpenzi ya waasisi wa Watani wa jadi na ustaarabu wa wapenda soka WATANZANIA.

Kuna mazungumzo mengine yanapaswa kuishia kwenye midomo ya mashabiki huku viongozi wakiishia kutoa ushauri wanapoona mashabiki wamepitiliza ktk utani.
 
Kama unataka kuyasikia matusi mapya hapa Duniani kutoka kwa mashabiki wa Simba, muite huyo mtu wao "Zeruzeru" wenyewe wanafurai zaidi ukimuita Albino mana ni Kingreza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea watu gani wa Simba unaowaongelea. Mm ni mwanachama lkn simkubali kabisa huyu dogo na sijui hata waliomuajiri walitumia vigezo gani !!
Hatuwezi kusema tuna Simba mpya na watu km huyu...
 
Mtu yeyote mwenye impairment ana mental imperfect. Huu ni uchunguzi wa kisayansi. Mbali na hlo mm ni Simba damu, huenda anaongea hvyo kutokana na utani uliopo baina ya hz timu mbl au ajilekebshe kwa kauli zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea watu gani wa Simba unaowaongelea. Mm ni mwanachama lkn simkubali kabisa huyu dogo na sijui hata waliomuajiri walitumia vigezo gani !!
Hatuwezi kusema tuna Simba mpya na watu km huyu...
Basi wewe simba nyau, sisi tunamkubali sana Manala na amsha amsha zake
 
Back
Top Bottom