Tshishimbi kutinda nyusi na kikuku

Tshishimbi kutinda nyusi na kikuku

Wadau hivi kweli msemaji wa Simba kumuita mchezaji wa Yanga Tshishimbi kuwa anafanana na msanii Shilole hivi ni haki kweli? Hivi na ye akifananishwa na muimbaji Kheisha si atasema ni ubaguzi kutokana na ulemavu wao wa ngozi.Hebu ajaribu kuwa mstaarabu hivi kama Simba wangekuwa wabaguzi angepewa hio kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna haja ya kupoteza muda kuhusu issue zake.

Anasema kwa mfano hawajui watu wanaouza jezi feki za Simba wakati kila alienda uwanjani anawaona mubashara.
 
Msamehe tu huyo msemaji wa Mikia FC, matatizo yake ni ya kisaikolojia.
 
Wadau hivi kweli msemaji wa Simba kumuita mchezaji wa Yanga Tshishimbi kuwa anafanana na msanii Shilole hivi ni haki kweli? Hivi na ye akifananishwa na muimbaji Kheisha si atasema ni ubaguzi kutokana na ulemavu wao wa ngozi.Hebu ajaribu kuwa mstaarabu hivi kama Simba wangekuwa wabaguzi angepewa hio kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app

MNAOMDHALILISHA MANARA KUPITIA UALBINO MNASTAHILI LAANA YA MWENYEZI MUNGU, MKONO WA HAKI - SALEH JEMBE

cc Sibonike na ndugu yake Ulimakafu
 
Kama unataka kuyasikia matusi mapya hapa Duniani kutoka kwa mashabiki wa Simba, muite huyo mtu wao "Zeruzeru" wenyewe wanafurai zaidi ukimuita Albino mana ni Kingreza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20170820-195800.png

May Allah bless Me and You
 
Wadau hivi kweli msemaji wa Simba kumuita mchezaji wa Yanga Tshishimbi kuwa anafanana na msanii Shilole hivi ni haki kweli? Hivi na ye akifananishwa na muimbaji Kheisha si atasema ni ubaguzi kutokana na ulemavu wao wa ngozi.Hebu ajaribu kuwa mstaarabu hivi kama Simba wangekuwa wabaguzi angepewa hio kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utani wa jadi huuwezi

Nafikiri tatizo ni kikuku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambieni uyo mwanaume atoe kikuku mguuni noma sana
 
Back
Top Bottom