Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Hakuna haja ya kupoteza muda kuhusu issue zake.Wadau hivi kweli msemaji wa Simba kumuita mchezaji wa Yanga Tshishimbi kuwa anafanana na msanii Shilole hivi ni haki kweli? Hivi na ye akifananishwa na muimbaji Kheisha si atasema ni ubaguzi kutokana na ulemavu wao wa ngozi.Hebu ajaribu kuwa mstaarabu hivi kama Simba wangekuwa wabaguzi angepewa hio kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anasema kwa mfano hawajui watu wanaouza jezi feki za Simba wakati kila alienda uwanjani anawaona mubashara.