Tshishimbi kutinda nyusi na kikuku

Tshishimbi kutinda nyusi na kikuku

IMG-20170825-WA0022.jpg

Qaluu lamnakuminal musswalliin
 
hata Mafisango alikuwa na hizo mambo, kipindi kile smartphone hazikuwa zimezagaa ki hivyo ndio maana halikuvuma sana. Kwa sisi tuliokuwa tunaenda pale uwanja wa Taifa & na ule wa Bibi tulikuwa tunamuone vyema.
mkuu swalamaa?
 
Mashabiki wa Simba huwa wanaongea Pumba tu.

Hawana ya maana ya kuongea...sasahv hot news kwao ndio kama hii na kushabikia ule ushindi wa goli moja la penalty.

Umbumbumbu.
haha naona lichaputa imewatoa kijasho leo
 
hata Mafisango alikuwa na hizo mambo, kipindi kile smartphone hazikuwa zimezagaa ki hivyo ndio maana halikuvuma sana. Kwa sisi tuliokuwa tunaenda pale uwanja wa Taifa & na ule wa Bibi tulikuwa tunamuone vyema.
Tuna kazi na hawa watu wasioenda uwanjani. Kelele nyingi lakini mpira wao ni kwenye Tv na magazeti
 
Tuna kazi na hawa watu wasioenda uwanjani. Kelele nyingi lakini mpira wao ni kwenye Tv na magazeti

Na hata huko kwenye TV na Magazetu huwa wanaonekana nyakati kama hizi za mwanzo wa msimu....Kama kaka yao mkuu Sembo.
 
Sasa yaani unashangaa Tshi Shi Baby kuvaa kikuku!!???ndio stahili yake kabsaaa sheikh!
 
Wadau hivi kweli msemaji wa Simba kumuita mchezaji wa Yanga Tshishimbi kuwa anafanana na msanii Shilole hivi ni haki kweli? Hivi na ye akifananishwa na muimbaji Kheisha si atasema ni ubaguzi kutokana na ulemavu wao wa ngozi.Hebu ajaribu kuwa mstaarabu hivi kama Simba wangekuwa wabaguzi angepewa hio kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom