Hakuna haja ya kupoteza muda kuhusu issue zake.Wadau hivi kweli msemaji wa Simba kumuita mchezaji wa Yanga Tshishimbi kuwa anafanana na msanii Shilole hivi ni haki kweli? Hivi na ye akifananishwa na muimbaji Kheisha si atasema ni ubaguzi kutokana na ulemavu wao wa ngozi.Hebu ajaribu kuwa mstaarabu hivi kama Simba wangekuwa wabaguzi angepewa hio kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungetumia akili kidogo sawa na punje ya haradali au ya mchicha usingeandika hayaChura bhana, Sasa kwani huyo shishimbi wenu hafanani na shishi baby?? Wote wanavaa VIKUKU
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Wadau hivi kweli msemaji wa Simba kumuita mchezaji wa Yanga Tshishimbi kuwa anafanana na msanii Shilole hivi ni haki kweli? Hivi na ye akifananishwa na muimbaji Kheisha si atasema ni ubaguzi kutokana na ulemavu wao wa ngozi.Hebu ajaribu kuwa mstaarabu hivi kama Simba wangekuwa wabaguzi angepewa hio kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sijawahi, ndo maana huwa namsamehe....shida yake kila kila anajifanya anajua na ana over do kila kinywa chake kikitamka.
Kama unataka kuyasikia matusi mapya hapa Duniani kutoka kwa mashabiki wa Simba, muite huyo mtu wao "Zeruzeru" wenyewe wanafurai zaidi ukimuita Albino mana ni Kingreza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utani wa jadi huuweziWadau hivi kweli msemaji wa Simba kumuita mchezaji wa Yanga Tshishimbi kuwa anafanana na msanii Shilole hivi ni haki kweli? Hivi na ye akifananishwa na muimbaji Kheisha si atasema ni ubaguzi kutokana na ulemavu wao wa ngozi.Hebu ajaribu kuwa mstaarabu hivi kama Simba wangekuwa wabaguzi angepewa hio kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri tatizo ni kikukuWadau hivi kweli msemaji wa Simba kumuita mchezaji wa Yanga Tshishimbi kuwa anafanana na msanii Shilole hivi ni haki kweli? Hivi na ye akifananishwa na muimbaji Kheisha si atasema ni ubaguzi kutokana na ulemavu wao wa ngozi.Hebu ajaribu kuwa mstaarabu hivi kama Simba wangekuwa wabaguzi angepewa hio kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
(black)Nywere=nyweleNdo maana wanawaita wamatopeni, hivi yeye wangemwita mtoto sio riziki angesemaje, huyu brother ni wakumsamehe akili ni nywere
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unataka kuyasikia matusi mapya hapa Duniani kutoka kwa mashabiki wa Simba, muite huyo mtu wao "Zeruzeru" wenyewe wanafurai zaidi ukimuita Albino mana ni Kingreza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Onesha picha ya akiwa amevaa kikukuChura bhana, Sasa kwani huyo shishimbi wenu hafanani na shishi baby?? Wote wanavaa VIKUKU
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Onesha picha ya akiwa amevaa kikukuChura bhana, Sasa kwani huyo shishimbi wenu hafanani na shishi baby?? Wote wanavaa VIKUKU
Pogba wa tz nchi imekushinda!