M Mafuluto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2009 Posts 1,861 Reaction score 859 Sep 6, 2017 #81 OKW BOBAN SUNZU said: Basi wewe simba nyau, sisi tunamkubali sana Manala na amsha amsha zake Click to expand... Sawa nyie ndo wale wale. Amsha Amsha ni tofauti na upumbav. Huwezi kuwa na katibu mkuu wa quality ile na PR zuzu km huyu, katika zama hizi tunazokwenda kuwa wa kisasa zaidi! Ndo maana vyura waliachana na yule lofa mwingine, ambaye kwenu ni shujaa !!
OKW BOBAN SUNZU said: Basi wewe simba nyau, sisi tunamkubali sana Manala na amsha amsha zake Click to expand... Sawa nyie ndo wale wale. Amsha Amsha ni tofauti na upumbav. Huwezi kuwa na katibu mkuu wa quality ile na PR zuzu km huyu, katika zama hizi tunazokwenda kuwa wa kisasa zaidi! Ndo maana vyura waliachana na yule lofa mwingine, ambaye kwenu ni shujaa !!
Mkwaju Ngedere JF-Expert Member Joined Oct 15, 2016 Posts 1,046 Reaction score 874 Sep 6, 2017 #82 Kama sio JUNYA, basi MTOTO WA WATU, haiwezekani KIJANA TIMAMU akafanya hayo! Sent using Jamii Forums mobile app
Kama sio JUNYA, basi MTOTO WA WATU, haiwezekani KIJANA TIMAMU akafanya hayo! Sent using Jamii Forums mobile app