Tshishimbi kutinda nyusi na kikuku

Tshishimbi kutinda nyusi na kikuku

Joined
Mar 20, 2017
Posts
35
Reaction score
27
Hivi huwa ni utamaduni wa wakongo eti
Mana mi sielewi Huyu mchezaji mpya wa yanga mpaka kwenye gazeti nikaona hii habari sasa sijui kuna nini hapa Hebu wakuu wa mambo nielezeni
e0a7a8e71abf79585234adcace1a6635.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata Mafisango alikuwa na hizo mambo, kipindi kile smartphone hazikuwa zimezagaa ki hivyo ndio maana halikuvuma sana. Kwa sisi tuliokuwa tunaenda pale uwanja wa Taifa & na ule wa Bibi tulikuwa tunamuone vyema.
 
Mashabiki wa Simba huwa wanaongea Pumba tu.

Hawana ya maana ya kuongea...sasahv hot news kwao ndio kama hii na kushabikia ule ushindi wa goli moja la penalty.

Umbumbumbu.
 
Back
Top Bottom