Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,513
Maswali ya msingi huyajibu, just answe
1. Nani wa kwanza kudevelop 5g core chip
2.Nani anaongoza kuwa na 5g patent rights
3.unamlipaje mtu loyalty kwa kitu ambacho hana na hajakuuzia na ukitumii
1. Nani wa Kwanza kudevelop 5g core chip.
Kwanza, hakuna jipya kwenye 5g chip. 5G technonogy has its foundations from 4G technologies, which were also developed as an advancement on 3G & 2G. hivyo aliyedevelop the first 2G chip ndio likely developer wa 5G chip. Sababu naona ni kama vile tunajadili as if 5G came to the world from some skies.
Pili, Supplier wa hizi CHIP zote, including 5G, Supplier Mkubwa, ndio huyu aliyesema kuanzia september hachukui order from HUAWEI baada ya kukatazwa na USA. Hivyo manufacturer wa kwanza wa 5G ni Mmarekani.
2. Nani anaongoza kuwa na 5G patent rights.
Wamekani, si unasikia wamekataza aisee.
hizo vitu unasoma huko za nani ana patent nyingi zisome vizuri, ni upuuzi kaanzisha UHAWEI, lakini hana lolote.
3. Unamlipaje mtu layalty kwa kitu ambacho hana na hajakuuzia.
nshakuambia, kuna patenent on equipment, ambazo nimekubali ni chinese rights, na kama wanastyle kulipwa wanalipwa.
sasa usiforce eti CHINA analipwa patent kwenye 5G business. kwanza hakuna mtu wamemsupply hizo equipment.