HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Kwenye technology hakunaga kutengeneza chako. Kuna patents nyingi zinamilikiwa na watuWanachosahau ni kuwa China inaponyimwa kitu, inatengeneza cha kwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye technology hakunaga kutengeneza chako. Kuna patents nyingi zinamilikiwa na watuWanachosahau ni kuwa China inaponyimwa kitu, inatengeneza cha kwake.
You can google that kama shida yako ni kujua. Path anayopitia China haina tofauti na major technology power nyingine. Hata Japan vitu vingi walijifunza kwa wamarekani na baadae wakaanza kuwapiku walimu wao. Wangekuwa hawana potential, the west wouldn't care.they don't have records to prosper on their own, nipe innovations hata tano tu ambazo mchina ame anzisha kwa mkono wake
Kitu kimoja watu wengi hawajui kuhusu China ni ukubwa wa soko lake lenyewe. Wachina ni over 1.3billion Mara nne zaidi ya marekani, lakini pia bidhaa nyingi za makampuni ya marekani zinatengenezewa China.
Pia tuitambue shida yote ni nguvu za kiuchumi za China ambazo zinamuogopesha marekani hivyo vikwazo vyoote hivyo.
Covid 19 itatoa jibu muda si mrefu kwamba uchumi wa marekani hauwezi kuwa tishio kwa wengine. Tuipe muda maana unapoweka vikwazo vinakula kotekote
Wao kama walikua na teknolojia wao kwanini wakaacha WACHINA wakaiteka DUNIA kwa 5G tech ?!wamarekani wamekataa technologia yao isitumiwe na HUAWEI sababu serikali ya china ina mikono kwenye kampuni hiyo na hivyo kusababisha wasiwasi wa bidhaa za HUAWEI kutumiwa na serikali ya uchina katika namna inayohatarisha usalama wa USA.
Issue ya serikali ya UCHINA kuwa na influence kwenye kampuni hiyo ni sababu, serikali ya UCHINA haiko tayari makampuni ya kibiashara kujiendesha yanavyotaka bila maelekezo yake binafsi, na hii inawezekana sababu hakuna hoja mbadala pale china za namna serikali inapaswa kuendeshwa au kusimamia uchumi wa nchi.
sasa hapo wamarekani wana wivu kivipi?
kama ni wivu hao wachina si watumie technologia yao yaishe.
MKUU unaifananisha KIBAHA na UCHINA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]gadgets kutengenezwa nchi fulani sio stepping stone kwenye maendeleo, china kutengeneza vitu vingi under licence haimaanishi kuwa ndo ata master game ,
hujajifunza miaka ya 90 tulikuwa tuna assemble scania kibaha hapo, ? scania wapofuta mkataba waliyumba?
Android ikimbana sasa ilikua inangojea nini mzee mpaka muda huu ?walisema watalauch os yao kama mbadala wa android imeishia wapi?
leo hii android ikimbana mchina anaweza kutoka kwenye soko la smart phones , mchina alikuwa wapi kustuka wakati android inapenetrate hadi inafikia level ya kuwa tishio kwa mchina,
why should i be general and be blurred ratherSo unaamini kwamba Apple wangedefy hiyo communication act!?
Alafu recall back time before the saga, Apple Market share ilikuja na baada ya hiyo issue ilikuwa.
Usiangalie ishu direct angalia General
China haina 5G technology, China was buying and assembling the technology from USA. Now those transactions has been halted and the only resolve CHINA has to pursue is to try her copy pasting strategies on whatever 5G knowhow they had acquired and start a fresh.Wao kama walikua na teknolojia wao kwanini wakaacha WACHINA wakaiteka DUNIA kwa 5G tech ?!
US na Shost zake mnatapa tapa tuu
Snowden alikuaje MKUU ?!wamefikishana mpaka mahakamani, hawawezi kucheza maigizo mahakamani
halafu nchi zilizoendelea hawana uongo uongo wa kampuni na serikali kudanganya raia.... watatokea watu ndani ya FBI na Apple wanaitwa "whistle blower" watasema jamani eeeh, huku kuna kigenge kinavunja sheria za kikatiba za faragha... itakuwa ishu kubwa sana
Wamarekani wanaiamini na kuisujudia katiba yao kama neno la Mungu liletalo uponyaji
Mbna ya snowden na julian assange hamyaongelei MKUU !?.watu wanasahau yaliyotokea kwenye kampuni ya Enron , whistleblower mdogo kabisa alisababisha kampuni kubwa ku file bankruptcy na kupotea kabisa. na katiba ikamlinda , ingekuwa kwenye ujamaa wetu huu jamaa alikuwa anapotea
UCHINA kama maji MKUU.....Siku moja Trump aliulizwa swali, keamba aseme ukweli kama kuna house hold hata moja ya Kimerikani ambayo haitumii bidhaa kutoka China! Trump alijibu kwamba hata yeye adilimia 75 ya vitu anavyo vitumia nyumbani mwake vinatoka Uchina
Nuclear BOMB to IRAN is similar to US5G to China is similar to Nuclear BOMB to Iran.
Huwa unamuelewa Trump anaposema he wants manufacturers back home?Siku moja Trump aliulizwa swali, keamba aseme ukweli kama kuna house hold hata moja ya Kimerikani ambayo haitumii bidhaa kutoka China! Trump alijibu kwamba hata yeye adilimia 75 ya vitu anavyo vitumia nyumbani mwake vinatoka Uchina
hata huelewi, soko la smartphone za china kwa sasa zinategemea huruma ya googleAndroid ikimbana sasa ilikua inangojea nini mzee mpaka muda huu ?
Watambana sana HUAWEI ila watakubali wenyewe mwisho wasiku.....
wanampa bure ?!hata huelewi, soko la smartphone za china kwa sasa zinategemea huruma ya google
Hivi mwenye patent za 5g nyingi ni nani.why should i be general and be blurred rather
China haina 5G technology, China was buying and assembling the technology from USA. Now those transactions has been halted and the only resolve CHINA has to pursue is to try her copy pasting strategies on whatever 5G knowhow they had acquired and start a fresh.
for now they do not have it.
Ila Kwa Africa sisi hatutoathirika Sana maana hata kama mtu umelala ukaamka ukaona mpangilio wa cm yako umebadilika tutajua Google tu wame update kumbe mchina kashafanya yake mpaka tukija kujua ukweli ushaizoea huduma mpya .maana waafrika hawatoweza kuacha Tecno yake ndani akanunue iPhone Sisi shida Kula tu chochote sawaKwenye software, the west wako mbali sana, hata kama Wachina wakijaribu itaishia kutumika kwao tu. Google eco system sasa hivi haina mbadala, hapo watachemsha. Lakini vita ya sasa hivi ni hardware hawatashindwa. Underestimating the Chinese imewa-cost the West
huwa tunaongelea vitu relevant, ishu ya Assange ni mbali kabisa na hiiMbna ya snowden na julian assange hamyaongelei MKUU !?.
Hiki Mimi ndiyo nakishangaa sana, sema nilichogundua kwamba wachangiaji wengi hawafatilii mambo kwa upana wake yaani huyu mmarekani anachofanya ni kujitekenya na kucheka mwenyeweHuawei zte na honor zote ni kampuni moja ila kwa majina tofauti. kwahiyo marekani kutowauzia huawei processor ni sawa na kazi bure.
funny factIla Kwa Africa sisi hatutoathirika Sana maana hata kama mtu umelala ukaamka ukaona mpangilio wa cm yako umebadilika tutajua Google tu wame update kumbe mchina kashafanya yake mpaka tukija kujua ukweli ushaizoea huduma mpya .maana waafrika hawatoweza kuacha Tecno yake ndani akanunue iPhone Sisi shida Kula tu chochote sawa