wamarekani wamekataa technologia yao isitumiwe na HUAWEI sababu serikali ya china ina mikono kwenye kampuni hiyo na hivyo kusababisha wasiwasi wa bidhaa za HUAWEI kutumiwa na serikali ya uchina katika namna inayohatarisha usalama wa USA.
Issue ya serikali ya UCHINA kuwa na influence kwenye kampuni hiyo ni sababu, serikali ya UCHINA haiko tayari makampuni ya kibiashara kujiendesha yanavyotaka bila maelekezo yake binafsi, na hii inawezekana sababu hakuna hoja mbadala pale china za namna serikali inapaswa kuendeshwa au kusimamia uchumi wa nchi.
sasa hapo wamarekani wana wivu kivipi?
kama ni wivu hao wachina si watumie technologia yao yaishe.