Uko wapi ndugu yangu ama uko Mars nn.
China anauza marekani kuliko marekani anavyouza china. Europe anauza Marekani kuliko maelezo Russia anauza marekani vibaya mno.
Wachina wengi lakini ni maskini wa kufa mtu mmarekani mmoja ni wachina saba katika financial power
Why the U.S.-China trade deficit is so huge: Here’s all the stuff America imports
European Union | United States Trade Representative
Ni kweli Marekani ni soko la China na China ananunua vichache kutoka Marekani.
Swali la kujiukiza bidhaa anazouza marekani vs zinazouzwa ndani ya China zipi nyingi? Mfano: Huawei wana soko kubwa Sana la simu nchini mwao kuliko kuliko makampuni mengine including iPhone.
Ni kweli kwamba China anamtegemea US kwa baadhi ya products similarly US anamtegemea China, therefore ukiweka sunction kwenye Ain Fulani ya product na mwenzio atakuwekea na Kuna mmoja ataumia zaidi in the short, medium and long run.
Pili Russian imeendelea hizi siku z akaribuni kwa sababu ya sunctions hivyo wanajitosheleza baadhi ya vitu, Iran the same.
Kwa hiyo sunction sio kila wakati ni solution to certain problem badala take inachochea innovation and self dependent.
Nirudi kwenye hoja, US hawezi kujitgemea bila China hivyo hivyo China anamtegemea US lakini Hali ya uchumi wa US ni mbaya kuliko wa China ndio maana anatafuta njia ya kuleverage kwa kuweka sunctions kupunguza Kasi ya mchina na chances za kufanikiwa ni ndogo.
Mfano shughuli za kiuchumi nyingi US zimedumaWa na Covid19 while China uchumi umerebound na kujua kwa 3.2% last quarter.
Kikubwa kinachoweza kuupaisha uchumi wa marekanii ni 5G, lakini China wamewapiga bao kwa kuwa wakwanza kuitengeneza na kuanza kuiuza, hata Covid19 is assumed to be economic war hasa ujio wa 5G ya kichina kabla ya wale wanaofikiri ndio wamiliki.
Weekend njema