TSN yawasimamisha kazi waliofanya uzembe wa kuandika Rais Samia amefariki

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) imewasimamisha kazi Anitha K. Shayo ambaye ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Matangazo na Rajab Juma Mohammed ambaye ni Msimamizi wa Dawati la Huduma kwa Wateja

Wawili hao wameasimamishwa kazi ili kupisha Uchunguzi wa tuhuma za kushindwa kuzuia makosa kwenye tangazo la pongezi walilotoa katika Gazeti la Daily News la Machi 29, 2021

Kipande cha sehemu ya tangazo hilo kilichosambaa mtandaoni kiliandikwa ‘Congratulation, The board of Director, Management and Staff of STAMICO join fellow Tanzanians in mourning the death of H.E President Samia Suluhu Hassan for being sworn in as the 6th president of United Republic of Tanzania’

Katika hatua nyingine TSN wamesitisha huduma za mwakilishi wa kujitegemea wa matangazo, Lameck Samson


 
Tanzania News Standard siku hizi ndio Tanzania standard Newspaper
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…