TSN yawasimamisha kazi waliofanya uzembe wa kuandika Rais Samia amefariki

TSN yawasimamisha kazi waliofanya uzembe wa kuandika Rais Samia amefariki

Ajira za vimemo hizo madhara yake ndo hayo, mtu anapewa nafasi ambayo hana uwezo nayo
 
Ni kwa kukusudia au uzembe tuu. Kama uzembe umepitiliza.
 
Miaka ya nyuma ktk mji wa tarime trafik mmoja wa kike alielekeza vibaya msafara wa kikwete,alikamatwa kesho yake ikatangazwa amejuia kwa risasi akiwa mahabusu
Amejiua tena alipatawapi silaha
 
Back
Top Bottom