TSN yawasimamisha kazi waliofanya uzembe wa kuandika Rais Samia amefariki

TSN yawasimamisha kazi waliofanya uzembe wa kuandika Rais Samia amefariki

Copy and paste hayo.. tulikuwa na HR wetu hiyo tabia alikuwa nayo chochote kile anahariri so maneno akawa anayaacha basi unasoma unacheka tu new joinner anakaribishwa and anapewa pole ya kufiwa na mume wake wakati nae ni mwanaume
 
Wasameheni jameni..hakuna binadamu aliyemkamilifu. Hapo ukiangalia kwa harakaharaka tu hakune intent ya kosa..
 
Shida za copy & paste, halafu hakuna proof reading!
Hii ni aibu na uzembe mkubwa, wacha wasimamishwe kwanza, kutakuwa na umakini.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Mambo ya kuajiri wajomba serikalini ndo matokeo yake. Kuna watu wanafanya kazi serikalini ila uelewa wao unatia kinyaa utadhani waliishia la nne halafu unaambiwa Ana diploma.
Huko private ndio kichefuchefu zaidi
 
Wangewaacha tu kwani wasomaji wenyewe hawakuona kosa lolote, labda lingeandika kwa kiswahili.
 
Nop best...uzembe mkubwa

Ilitakiwa hadi na yeye aliowasimamisha kazi naye asimamishwe.,,ina maana na yeye hakutumiza wajibu wake ,wahariri ,wachapishaji? Ni chain ndefu ,kwenye uchapishaji kila section inabidi iwe inapitia makosa sio kutegemea mtu mmoja.

Hao nafikiri wanatafuta sympathy ya Mh. Samia tu,unafukuza watu then unataja majina yao hadharani haijakaa poa ,wangetaja tu vyeo vyao.
 
Mmeona nini hapa?


1617082752011.png
 
Huo uzembe wao hauvumiliki!

Yaani hata proof reading iliwashinda?
Wahariri pia watimuliwe wengi huwa hawapitii

Hilo kosa tatizo.lske litakuwa kutumia template iliyokuwepi mfano hiyo template yaweza kuwa ilitumika kipindi cha kifo cha Mkapa sasa wakati wa kutengeneza wakafuta jina la mkapa ili wa replace na jina la Magufuli halafu wakaendelea kutype ongera wa Samia .Wakasahau kurudi kutypev pale walipofuta jina la Mkapa

Hii hitokea mtu akiwa anachapa huku anao ngea ongea na wengine.Kuandika kubataka concentration hasa .Maofisini huwa mikosa ya uandishi inakuwa kibao shauri unakuta mtu anaandika huku anachonga mdomo4
 
kigogo ndie ali post hili kosa. Vyombo vyote vilikuwa kimya!
 
Tulishasema achaneni na lugha za wazungu hamziwezi, tumieni lugha yetu hamsikii!
 
Back
Top Bottom