Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,869 Reaction score 29,059 Mar 30, 2021 #81 Ajira za vimemo hizo madhara yake ndo hayo, mtu anapewa nafasi ambayo hana uwezo nayo
Troublemaker JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,834 Reaction score 40,641 Mar 30, 2021 #82 Nyani Ngabu said: Huo uzembe wao hauvumiliki! Yaani hata proof reading iliwashinda? Click to expand... Platnum member pia mnakula bunn😅 sio ndio ilibidi muwe mfano kwenye nidhamu.
Nyani Ngabu said: Huo uzembe wao hauvumiliki! Yaani hata proof reading iliwashinda? Click to expand... Platnum member pia mnakula bunn😅 sio ndio ilibidi muwe mfano kwenye nidhamu.
M Mwanitu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2010 Posts 1,035 Reaction score 597 Mar 30, 2021 #83 Ni kwa kukusudia au uzembe tuu. Kama uzembe umepitiliza.
Jesuitdon JF-Expert Member Joined Dec 18, 2018 Posts 3,143 Reaction score 2,720 Mar 30, 2021 #84 gibasisi said: Miaka ya nyuma ktk mji wa tarime trafik mmoja wa kike alielekeza vibaya msafara wa kikwete,alikamatwa kesho yake ikatangazwa amejuia kwa risasi akiwa mahabusu Click to expand... Amejiua tena alipatawapi silaha
gibasisi said: Miaka ya nyuma ktk mji wa tarime trafik mmoja wa kike alielekeza vibaya msafara wa kikwete,alikamatwa kesho yake ikatangazwa amejuia kwa risasi akiwa mahabusu Click to expand... Amejiua tena alipatawapi silaha