Aisee ama kweli siyo kila aliyesoma ana elimu!
kwamba kilichochini hakiwezi athiri balance juu?
Sasa nakueleza kawafundishe na wasomi wenzako!
Kilichochini kinanafasi kubwa sana kubalance kilicho juu, hata ndoo ya maji ukizamisha tawi la mti kwenye ndoo hayamwagiki!
waliokulia kijijini kama mm watanielewa!
ukitia jani ndani ya maji juu hata usipofunika hayatembei!
Balance ya mawimbi juu hutembea kwa kupanda na kushuka ( mawimbi ya aina yoyote iwe maji au sauti hutembea kwa style ya kupanda na kushuka, umbali kutoka juu ya maji unanafasi kubwa sana kuaathili mawimbi kupoteana,!
mawimbi yanakwenda kwenye kina kirefu hugongana na yaliyotua kwenye kina kifupi na kupunguza kasi au kupoa kabisa
ninaposema mawe na miamba na maanisha majabari makubwa ambayo kwa uwiano wa maji yanabalance!
Elewa mimi ni fundi nakueleza kwa hoja za uzoefu na udadisi! achana na bla bla pasipo kudadisi