Tsunami kamwe haitokuja kutokea Tanzania kwa sababu zifuatazo (Jifunze usiogope)

Kwa hoja ya huyu jamaa, ntakubaliana naye ikiwa ni kweli pwani ya Tanzania ina miamba na majabali ndani ya bahari.

Hii naifananisha na upepo na miti. Sehemu yenye miti mingi upepo hupunguzwa kasi ulinganisha na sehemu tambarare isiyo na miti, upepo wake unakuwa kasi sana.
 
Elimu si Kusoma.. kupitia mifano yako nimekuelewa vzuri.. naendelea na udadisi...

tumeweka sana majani kwenye ndoo zisizo na mifuniko ili maji yasimwagike tunapotembea.. achana na mabesen.. hata tunapochemsha maziwa ili mawimbi yake yasiwe tsunsmi na kutoka nchi kavu, tunawekaga kajabali Kisosi kuzuia hiyo hali.

Asante kwa Elimu.
 
Kwa elimu yake ya ufundi veta, kajitahidi kweli mleta uzi., Ungesoma Sana ungekuwa mbali.
 
Habari

Pasipo kupoteza muda,

Hii elimu huwezi kuambiwa popote darasani, lakini kutokana na kazi zangu za kiufundi mimi Fundi SAMICO nimejifunza mambo mengi mno kuhusu hii dunia. Wakati dunia ikiumbwa kila kitu kilisetiwa mahala pake.

Wakati mabara yakimeguka na kutengana yalimegwa kwa mpango maalum.

Siku moja nikiwa na mafundi wenzangu niliwaambia laiti wanasayansi wakituliza kichwa kidogo tu tutapata bonge la shotikati kwenda ulaya kwa dakika 10 tu.

Ni hivi kama kweli dunia ina umbo la tufe, maana yake kama upande mmoja ni afrika na ule mwingine ni ulaya basi ukilitoboa katikati unaweza tumbukia shimoni ukaslide na kuibukia ulaya kwa dakika chache tu, walinibishia wakanipiga na chepe.
nikaweka uzi humu, utafteni nimeandika.

Tukirudi kwenye mada ya leo!

Kumekuwepo kutishana kwingi sana kuhusu tishio la dhoruba na mawimbi kuishambulia inchi kavu. Naomba kuliweka wazi hili mimi kama Fundi SAMICO.

Hakuna dhoruba wala wimbi la bahari litakalokuja kuishambulia tanzania ama nchi jilani.

HAIWEZI KUTOKEA KAMWE kwasababu zifuatazo:

Wimbi hujipika baharini kutokana vyanzo vingi mathalani tetemeko, kimbunga, upepo unaovuma n.k

Maji hutikiswa na kuzalisha mawimbi (yaani maji kupanda na kushuka)
Kadri mawimbi yanavyopanda ndivyo hupigwa kofi na upepo yaelekee nchi kavu!

Mfano tulivyo kuwa watoto tulikuwa tuna tabia ya kurusha jiwe kwenye maji (vidimbwi) yaliyotulia ili kuona ile mistari ya maji inavyosukumana kuja nchi kavu.

nakumbuka mimi na watoto wenzangu tulivyoshindana nani ataweza kutengeneza wimbi litakalowahi fika miguuni kwa kuhesabu moja hadi kumi Ili nipate ushindi nilikuwa nachukua mawe makubwa natanguliza chini ya maji ili pale wenzangu wanaporusha mawimbi yapotee! Na kweli yalipotea.

Hata wewe hapo jaribu kufanya hivi.

Chukua beseni mbili, moja jaza maji, lakini jingine jaza maji na mawe makubwa ingiza humo, halafu rusha kijiwe kidogo juu ya Maji kwenye kila beseni ili kutengeneza wimbi, utagundua kwamba lile lenye mawe mawimbi yake hayana kasi kama lile beseni lisilokuwa na mawe.

MAWIMBI ya bahari huwa yazalishwa na upepo, upepo ukiwa na nguvu unaweza zalisha wimbi kubwa kwenda juu urefu wa ghorofa kama 10 ukilinganisha, na wimbi huwa haliishii juuujuu tu hapana.

Wimbi huwa linakwenda hadi chini kabisa kuendelea kujisokota! na kunauwezekano wimbi likazama chini hata umbali wa kina cha mita 150~200.

Wimbi kubwa kama hili likija kuibuka linaweza angusha meli hata kutua mbali zaidi kuelekea ufukweni, kadri linavyokaribia ufukweni ukubwa au udogo hutegemea chini ya maji kupo tambarale kiasi gani (beseni)

Chini ya bahari kukiwa na majabari (mawe), matuta ya michanga, matumbawe, mabonde kiasi cha kukosa msawazo, Mawimbi hupotezwa vibaya kiasi cha kukosa balansi ya kujisokota.

kuanzia mtwara hadi tanga na zanzibari inchi yetu imeumbwa hivyo, haina msawazo kwenye eneo lote la pwani ukilinganisha na wenzetu huko Califonia na ulaya mashariki ya mbali.

Dhoruba hata likija kubwa niaje, vile mabonde yaliyopo ukikaribia fukwe yanapoteza kabisa nguvu za mawimbi kuharibu uso wa nchi.

KWAHIYO KUANZIA LEO ukitishwa na mtu kwamba kuna sunami linakuja, HUYO Mtu mwambie FUNDI SAMICO Kasema HAKUBA Sunami lolote litakalokuja kuishambulia Tanzania halipo abadani!
UJUE vile Mungu aliumba Dunia alijua kabisa nani akae wapi na kwa nini:

Kama KICHAA kamwe hawezi kufa kwa kipindu pindu kwasababu automatiki ndani yake alipoteuliwa kuwa kichaa hupewa nguvu ya kinga inayozalishwa na kutokuwa na HOFU! lakini wewe hapo ukila kiporo cha juzi unalazwa mlonganzila.

Nchi yetu ni huyo kichaa, Tunajitafta taratibu sana MUNGU alijua hawa ngoja niwawekee tu ulinzi maana ebu waza daraja kigamboni tangu nyerere tunajinyima leo tumepata then lipigwe na sunami kweli? HAIWEZEKANI.

Mimi tangu nijue hili tangu zamani huwa nikisikia taarifa za Sunami huwa Nawaambia watu HAITAKAA ITOKEEE kwasababu tayali Ipo kinga
labda itokee mjuaji aichonge bahari yetu kuisawazisha ndipo tunaweza angamia

Taarifa zinazotolewa na mamlaka ya hali ya hewa NAAMINI huwa zinawenga wale wanaosafiri au kujishughulisha ndani ya bahari ili wachukue tahadhali.

Wala mtu asiwalaumu kwasababu wasiposema dunia itasema halafu mseme wataalamu wetu mbona hamjasema (kama inavyokuwaga mwandamo wa mwezi wa idd).

Kwahiyo wataalam wetu lazima waseme maana mawimbi kweli ni hatari kwa wanaosafiri baharini lakini huku NCHI KAVU SIYE TUSIWE NA HOFU HAITAKUJA KUTOKEA HAPA KWETU.

Ukiondoa nabii mtu mwingine anaeweza kufuniliwa na Mungu ni fundi.

Mungu alikuwa fundi mkuu akaumba, Nuhu alipewa maono akaumba safina, Yesu kristo alizaliwa na fundi.

Kazi ya ufundi ni kazi bora sana ambayo alianzisha Mungu mwenyewe!
natamani kila nyumba iwe na fundi, Serikali isiishie tu kusema Vijana mujiajiri then bhasi.

HATA KAMA HATUJASOMA SANA, Natamani kuona RAIS Wetu akiteua MAFUNDI hadi waliojiajili binafsi ili kuweka hamasa katika jamii.

Jamii ione kwamba RAIS Kamteua SAMICO TANZANIA kuwa mkuu wa Wilaya, kabla ya uteuzi huo bwana SAMICO Alikuwa Fundi Umeme, ujenzi mtaani namba yake ya simu ni 0711756341 au instagram @samico_tanzania!

Kama fundi nimeweza kubuni majengo, maghorofa, umeme ndani vizuri watu mkaishi nitashindwaje kubuni njia nzuri kuiendeleza jamii.

Mkiendelea kuteua maprofesa/wasomi walewale kila mzazi atataka mwanae akasomee usomi huo baadae jamii inakuwa na wasomi wasiyokuwa na ajira.

Anzani kuteua mafundi muone jamii inavyobadilika.

HAKUNA SUNAMI BONGO INAYOWEZA KUTOKEA MAISHANI MSIOGOPE.
Asante fundi wa Mlingotini tumekusikia, mimi nina jambolangu nisaidie, mifuko kunasa pesa nipitapo nje ya benki, ni hilo tu.
 
Nimeishia hapo kwenye idea yako ya kutoboa dunia ili kutokea Ulaya.

Dunia ina layers tatu.

Zitaje
Ujue watu wenye akili hizo ndo wamejaa mtaani, na ni wabishi sana!
 
Ile iliyotokea 2005 ilikuwa nini mtoa mada
 
nimekwambia haliwezi kuleta madhara nchi kavu kwasababu linakuwa lishapozwa, niambie wewe 2005 lilileta madhara gani nchi kavu?

madhara ndani ya bahari ni kawaida
 
Ntakuja kuandika na mimi namna navyoyaelewa mawimbi.

Ili mawimbi yasilete madhara basi inatakiwa pawe na eneo kubwa la maji mafupi kabla haujafika pwani. Yaani pawe hata na kilomita mbili za kabla kuugusa mchanga pawe na maji mafupi. Kanuni ya pili. Pawe na mwinuko mkubwa kwa nchi kavu baada tu ya mwisho wa bahari. Ukiktana na ardhi ama eneo lililo na jogolafia ya aina hii siyo rahisi sana kudhurika na mawimbi
 
Naomba Ufafanuzi zaidi kwenye kuslide aka kuteleza mpaka Ulaya..
 
soma kwenye huu uzi wangu mwingine nimefafanua hapa:
 
Ntakuja kuandika na mimi namna navyoyaelewa mawimbi.

Ili mawimbi yasilete madhara basi inatakiwa pawe na eneo kubwa la maji mafupi kabla haujafika pwani. Yaani pawe hata na kilomita mbili za kabla kuugusa mchanga pawe na maji mafupi. Kanuni ya pili. Pawe na mwinuko mkubwa kwa nchi kavu baada tu ya mwisho wa bahari. Ukiktana na ardhi ama eneo lililo na jogolafia ya aina hii siyo rahisi sana kudhurika na mawimbi
karibu tunatishwa sana kwa kukosa ufaham
 
Bomu la atomic likilipuliwa ndani ya eneo letu la kina kirefu cha bahari Tsunami itakayotokea kwa mfano, itasomba kila kitu kilichoko Posta, Kigamboni na oysterbay hadi bonde lote la jangwani litafunikwa.

Hata hivyo mada yako inahamasisha kufikiri zaidi.... [emoji122]
Hiyo ni vita Sasa nadhani hajazungumzia Hilo
 
Back
Top Bottom