Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 486
- 1,237
- Thread starter
-
- #41
elewa mada ndugu yangu wanaweza kufa wavuvi siyo nchi kavuUsipotoshe watu tsunami ya 2004 ilifika hadi bongo na iliondoka na watu 10..kenya na mwambao wa somalia iliondoka na watu 100.
Acha ujinga huo majanga hayatabiriki ni vyema kuwa na utayari muda wote.
Wewe ndo hujamuelewa mtoa mada. Unahitaji kutumia akili kubwa sana kumuelewa mtoa mada. Mtoa mada ana kitu ndani yake atafika mbaliTuwe makini na wapotoshaji kama mtoa mada. Ni watu wenye maneno mengi lakini ni upotoshaji mtupu.
walikuwa wanaogelea au wavuvi niambie wapi nch kavu ilipigwaIla imewahi fika 2004 na ikaua watu 10 COCO
Na wewe amekupotosha kwa maneno yake mengi yenye kona kona? Wabongo ukiwa na maneno mengi hata usipokuwa na point unakuwa umewaweza, hawawezi kabisa kufikiri.Wewe ndo hujamuelewa mtoa mada. Unahitaji kutumia akili kubwa sana kumuelewa mtoa mada. Mtoa mada ana kitu ndani yake atafika mbali
HahahaNimeishia hapa wakuu 🙌
Amewaza nje ya box.Na wewe amekupotosha kwa maneno yake mengi yenye kona kona? Wabongo ukiwa na maneno mengi hata usipokuwa na point unakuwa umewaweza, hawawezi kabisa kufikiri.
njoo na hoja mkuu usiwe mbishi bila hojaNa wewe amekupotosha kwa maneno yake mengi yenye kona kona? Wabongo ukiwa na maneno mengi hata usipokuwa na point unakuwa umewaweza, hawawezi kabisa kufikiri.
Hauna hoja. Kufananisha bahari na beseni ni kutudanganya. Kina cha bahari kinafika kilomita kadhaa. Kina kirefu zaidi ni kilomita 11(Mita 11,000). Urefu wa wimbi la tsunami la mita 10(Ghorofa tatu) ambalo trough yake nayo ni mita 10 ni mdogo kuweza kuathiriwa na miamba ya kwenye sakafu ya bahari iliyopo kilomita kadhaa chini.njoo na hoja mkuu usiwe mbishi bila hoja
Aisee ama kweli siyo kila aliyesoma ana elimu!Hauna hoja. Kufananisha bahari na beseni ni kutudanganya. Kina cha bahari kinafika kilomita kadhaa. Kina kirefu zaidi ni kilomita 11(Mita 11,000). Urefu wa wimbi la tsunami la mita 10(Ghorofa tatu) ambalo trough yake nayo ni mita 10 ni mdogo kuweza kuathiriwa na miamba ya kwenye sakafu ya bahari iliyopo kilomita kadhaa chini.
Vile vile, maneno mengi ila upotoshaji mtupu.Aisee ama kweli siyo kila aliyesoma ana elimu!
kwamba kilichochini hakiwezi athiri balance juu?
Sasa nakueleza kawafundishe na wasomi wenzako!
Kilichochini kinanafasi kubwa sana kubalance kilicho juu, hata ndoo ya maji ukizamisha tawi la mti kwenye ndoo hayamwagiki!
waliokulia kijijini kama mm watanielewa!
ukitia jani ndani ya maji juu hata usipofunika hayatembei!
Balance ya mawimbi juu hutembea kwa kupanda na kushuka ( mawimbi ya aina yoyote iwe maji au sauti hutembea kwa style ya kupanda na kushuka, umbali kutoka juu ya maji unanafasi kubwa sana kuaathili mawimbi kupoteana,!
mawimbi yanakwenda kwenye kina kirefu hugongana na yaliyotua kwenye kina kifupi na kupunguza kasi au kupoa kabisa
ninaposema mawe na miamba na maanisha majabari makubwa ambayo kwa uwiano wa maji yanabalance!
Elewa mimi ni fundi nakueleza kwa hoja za uzoefu na udadisi! achana na bla bla pasipo kudadisi
haya basi tufanye hivi Tsunami itakuja kupiga nyumbani kwako tu! lakini Nchi iliumbwa na kinga ya majabari kubalance mawimbi yasije tuangamiza watanzania!Vile vile, maneno mengi ila upotoshaji mtupu.
Hizo sayansi zako za upotoshaji peleka vijiweni. Jabali lipo kilomita kadhaa chini ya bahari ndilo likulinde na wimbi la tsunami la mita kumi huku juu!!?haya basi tufanye hivi Tsunami itakuja kupiga nyumbani kwako tu! lakini Nchi iliumbwa na kinga ya majabari kubalance mawimbi yasije tuangamiza watanzania!
haitakuja kutokea labda kama tutakrngeuka turuhusu watu wachimbue bahari kuwepo na msawazo tofauti na ilivyo sasa ni kontua
HUMU ukisikiliza maoni unagundua ni sahihi kabisa nchi yetu kuwa hivi tulivyo! kuna watu wanaona karibu kama Kuku,Nakazia
anaepotosha ni wewe hapo! Nimekupa hadi mfano hujaelewa! Haya waambie watu lini sunami ilipiga tanzania nchi kavu kama mimi muongoHizo sayansi zako za upotoshaji peleka vijiweni. Jabali lipo kilomita kadhaa chini ya bahari ndilo likulinde na wimbi la tsunami la mita kumi huku juu!!?
Ni neema ya Mungu Mungu katulinda watanzania, na hili wanatakiwa walielewe Tanzania safari chanelmtoa mada umejua kunigusa yaani tangu jana nina hofu Kumbe tuko salama
karibu sana ndugu tuendelee kujifunzanimejifunza jambo kwenye huu uzi! wacha nitembee kifua mbele hofu yote imekwisha kabisa