Tsunami kamwe haitokuja kutokea Tanzania kwa sababu zifuatazo (Jifunze usiogope)

Umeangalia mchezo wa Wimbi DStv?
sina muda huo kwasababu nina uhakika 100% tanzania haitokuja itokee kushambuliwa na sunami kwasababu tayali ilimeguka kwa dizain ambayo bahari haina madhara kwenye inchi ya tanzania
 
Kwa hoja ya huyu jamaa, ntakubaliana naye ikiwa ni kweli pwani ya Tanzania ina miamba na majabali ndani ya bahari.

Hii naifananisha na upepo na miti. Sehemu yenye miti mingi upepo hupunguzwa kasi ulinganisha na sehemu tambarare isiyo na miti, upepo wake unakuwa kasi sana.
 
Elimu si Kusoma.. kupitia mifano yako nimekuelewa vzuri.. naendelea na udadisi...

tumeweka sana majani kwenye ndoo zisizo na mifuniko ili maji yasimwagike tunapotembea.. achana na mabesen.. hata tunapochemsha maziwa ili mawimbi yake yasiwe tsunsmi na kutoka nchi kavu, tunawekaga kajabali Kisosi kuzuia hiyo hali.

Asante kwa Elimu.
 
Kwa elimu yake ya ufundi veta, kajitahidi kweli mleta uzi., Ungesoma Sana ungekuwa mbali.
 
Asante fundi wa Mlingotini tumekusikia, mimi nina jambolangu nisaidie, mifuko kunasa pesa nipitapo nje ya benki, ni hilo tu.
 
Nimeishia hapo kwenye idea yako ya kutoboa dunia ili kutokea Ulaya.

Dunia ina layers tatu.

Zitaje
Ujue watu wenye akili hizo ndo wamejaa mtaani, na ni wabishi sana!
 
Ile iliyotokea 2005 ilikuwa nini mtoa mada
 
Ile iliyotokea 2005 ilikuwa nini mtoa mada
nimekwambia haliwezi kuleta madhara nchi kavu kwasababu linakuwa lishapozwa, niambie wewe 2005 lilileta madhara gani nchi kavu?

madhara ndani ya bahari ni kawaida
 
Ntakuja kuandika na mimi namna navyoyaelewa mawimbi.

Ili mawimbi yasilete madhara basi inatakiwa pawe na eneo kubwa la maji mafupi kabla haujafika pwani. Yaani pawe hata na kilomita mbili za kabla kuugusa mchanga pawe na maji mafupi. Kanuni ya pili. Pawe na mwinuko mkubwa kwa nchi kavu baada tu ya mwisho wa bahari. Ukiktana na ardhi ama eneo lililo na jogolafia ya aina hii siyo rahisi sana kudhurika na mawimbi
 
Naomba Ufafanuzi zaidi kwenye kuslide aka kuteleza mpaka Ulaya..
 
Naomba Ufafanuzi zaidi kwenye kuslide aka kuteleza mpaka Ulaya..
soma kwenye huu uzi wangu mwingine nimefafanua hapa:
 
karibu tunatishwa sana kwa kukosa ufaham
 
Hiyo ni vita Sasa nadhani hajazungumzia Hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…