Tsunami kamwe haitokuja kutokea Tanzania kwa sababu zifuatazo (Jifunze usiogope)

Nimekuelewa Sana ,mawe makubwa kweye beseni

Na
Kwamba kama kweli tuko hivyo ,ilikuwaje daraja kama la kigamboni (Nyerere) ,lijengwe kwa namna ile na gharama kubwa wakijua muda wowote sunami inakatiza
 
Usijiaminishe sana. Mambo yanabadilika sana hapa Duniani. Haujasema chanzo kimoja cha Tsunami nacho ni Volcano za chini ya bahari. Si lazima itokee ukanda wa pwani yetu. Badala yake yaweza tokea karibu na Maldives au Mauritius
 
Soma tena utaelewa haijalishi chanzo lakini lazima mawimbi yatulizwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…