TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Sio kweli mpaka sasa hivi huwezi kujiunga bando tamtam. Sidhani kamanajua madhara ya kusema uongo kwenye biashara
 
Namba yako ya simu tafadhali
 
Tupo katika vita ya mabando, kwakuwa ttcl ni shirika la serikali tulitegemea muwe upande wetu katika kutupatia huduma kwa gharama nafuu,matokeo yake makampuni binafsi kama halotel na zantel gb 1 ni tsh 1000 nyie mnauza mara 2 yake,hamuoni kama mnaikosea serikali iliyowaamini? Au mnataka tutoe mawazo ya kubinafsisha shirika tujue moja? Badilikeni..Mama sio mnyonge #zingueni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…